Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

kwa hiyo hiyo equation ina balance kama ifuatavyo;

on the asset side kuna cash on hand sh. 100 na nguo uliyonunua (stock) sh. 9,700 total sh. 9,800.

On the liabilities side kuna deni la dada sh. 4,900 na deni la kaka sh. 4,900 jumla ni sh. 9,800. So mizania yetu imebalance, na hakuna mia inayopungua au kuzidi sehemu.
 
>= =maswali ya namna hii yako mengi kwenye jukwaa hili na majibu yalishawahi kutolewa.Kwa ufupi jumlisha ulicho kitumia kwanza kisha ulichobakiwa nacho
9700+100+100 kisha 100 uliyonayo mkononi.


kama hujui jibu si unyamaze? umelazimishwa kuchangia? unaleta hasira zako hapa kisa hujui!!!!
 
let me try.... chukulia deni = - 4,800 unaposema ukiongeza na 100 unamaani + (+100) so - 4,800 + 100 = - 4,700 which is the actual debit!!
 
25/5 =14
14x5=20+5=25
14+14+14+14+14=25
:. 14
14
14
14
+14=25
 
HAMNA KITU NAONA JIBU LIMESHINDIKANA.nipeni mji!teh teh.

Bushbaby: let me try.... chukulia deni = - 4,800 unaposema ukiongeza na 100 unamaani + (+100) so - 4,800 + 100 = - 4,700 which is the actual debit!!
 
Ahsanteni wandugu,Hapo sasa nimeelewa.kumbe njia rahisi ni kuweka upande mmoja wa assets na mwingine wa liabilities,halafu inabalance kiulaini. Aksanteni ilinisumbua sana hii kitu.
 
jibu sahihi ni hili hapa. Sh 100 ipo ktk sh9700 uliyonunulia nguo. Ikiwa umepunguza deni na kua sh9800, sh100 uliyobakiwa nayo na sh 100 iliyopo kwenye sh 9700 zitafanya jumla ya sh 10000. Sijui nimeeleweka!
 
huyo jamaa anamiliki jumla deni sh9800 kwa ile pesa aliyokopa sh 10000 ile alionunua nguo ni sh9700 na ile sh100 aliyo baki nayo .kaka na dada wamepewa sh200 kila mmoja sh100 jumla ni sh 10000mchezo umeishia hapo
 
Unayo mwenyewe kaka, ulikopa elf 10, umetumia 9900 yaan 9700 umenunua nguo, mia 2 umewapa dada na kaka so mia 1 bado unayo.
 
Nguo inauzwa sh. 10,000 we huna pesa, ukaamua kukopa kwa dada yako sh. 5000 na kwa kaka sh. 5000 ukapata sh. 10,000. Ukaenda kugalaliza na kununua kwa sh. 9,700 ukarudishiwa sh. 300. Ukaamua kupunguza deni. Ukatoa sh. 100 kwa kaka na 100 kwa dada, ukabaki na 100. Hivyo ikawa una deni kwa kaka 4900 na dada anadai 4900, ukijumlisha ya kaka 4900 na dada 4900 unapata 9800 Ukiongeza na ile 100 ya kwako, inakua 9900. Je, 100 imekwenda wapi?


bwana eeeh mi naona hao jamaa wote wamechemsha its better ukatupa jibu
 
Sio Maswali ya kitoto, ni maswali ya kuamsha akili kama imelala, jaribu mpe mtoto wako kama atakuelewa unaloliongea, safi sana ARV
 
let me try.... chukulia deni = - 4,800 unaposema ukiongeza na 100 unamaani + (+100) so - 4,800 + 100 = - 4,700 which is the actual debit!!
aisee

kweli upumbavu hauna ujazo
 
Back
Top Bottom