Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

Kigarama nakuheshimu ujue?
Najua unaniheshimu mzee. Lakini huku si ndiyo tunapopunguzia hasira zetu za kule kwenye kuulizana nchi yetu inakwenda wapi? Kwani wewe hujui kwamba hata Stephen Wasira naye huwa anapenda kucheka?

Jana ilikuwa ni Birthday day yangu ndiyo mwanangu akanipa lile swali kama zawadi yangu ya kuzaliwa!!
 
umeongea hoja ya msingi sana Kiggy.
Unajua tangu nistaafu kwa muda lile jukwaa la siasa, nimegundua kuwa uzito umeongezeka, jana nimepima uzito mzani wa Magomeni hospitali nikakuta nina 74.9Kg, ukitoa uzito wa viatu, simu, kitambulisho, funguo ya gari na sarafu za mfukoni unakuta nina kitu kama 74Kg hivi.
Very healthy indeed, ukizingatia mimi si mnene sana na nina 184Cm za urefu.
Pia ban zimepungua, unakuta mnajadili ufisadi wa mkuu wa kaya na athari zake kwa uchumi wa inji, anakuja mtu anakuambia kuwa hata Dr. (Ph.D) alifisadi mke wa mtu,
dah, basi kiroho safi unampa stahiki yake then unakula ban ya miezi kadhaa.
Anyways, welcome to stress free zone mkuu.
Nitaku-PM baadae kwa details za viumbe wanaorun hii zone, ina uhusiano na MMU, remember?
 
Nashukuru kwa kunielewa ndugu yangu. Kule kila mtu hata yule ambaye hajui kitu kabisa anataka kuendesha watu, na kuna wengine ni werevu lakini ni mabingwa wa upotoshaji. Wakati mwingine huwa nahofia isije ikaja siku nikakutwa sofani nimeshakufa zaamaani kisa "jukwaa la siasa". Kuna watu wao wakiona watu wa dini 'zao" wameguswa basi wanaripuka!!

Najua kuna "Play master na Play maker" wa huku lakini nimejigeuza kambale wakitaka kunishika nateleza zangu!!
 
hao wadini wachana nao bana.
Mimi kafiri nimezungukwa misikiti mitatu hapa, and life goes on, tunashirikiana nao kwa kila kitu (sometimez nguruwe).
Jukwaa la siasa verry stressful... Unatakiwa ukitoka huko upitie MK, au Jokes kusuuza mapovu ya jazba,
lol.
 
Ukindekeza jukwaa la siasa bila hata ya kuchepuka kidogo mwisho wa siku utapigwa kiharusi. Nilimuona Mwanakijiji MMU na hapa mara kadhaa lakini kama mimi na yeye kashindwa ku Cope na spidi za hapa. Mabusu motomoto kila mara, mzee wa watu kazoea kukimbizana na nyani kijijini huyo kachomoka zake!!
 
Swali la wahasibu hili.....balance sheet equation....dr and cr....limeisha!
 
Umeona eenh!!
Yap!

Lets try and see......alikopa pesa tuna debit assets(cash) 10,000 na ku credit wadeni kwa same amount. Aliponunua nguo tuna debit assets(nguo) 9,700 na ku credit cash kwa same amount. Aliporudisha deni kiasi, tuna debit wadeni kwa 200 na ku credit cash kwa same amount. At this point aki run trial balance, itasomeka hivi: cash dr 100 (=10000-9700-200); nguo dr 9,700; wadeni cr 9,800(=10,000-200). Sum of dr 9,800 and sum of cr 9,800. Mali alizonazo (cash na nguo ) zinalingana na deni alilonalo! Utaona kuwa kwenye hilo swali lako kwa makosa umejulisha deni na mali ili kupata kiwango cha deni!

Sina hakika kama inaeleweka.....shule nimetoka kitambo!
 
Ukindekeza jukwaa la siasa bila hata ya kuchepuka kidogo mwisho wa siku utapigwa kiharusi. Nilimuona Mwanakijiji MMU na hapa mara kadhaa lakini kama mimi na yeye kashindwa ku Cope na spidi za hapa. Mabusu motomoto kila mara, mzee wa watu kazoea kukimbizana na nyani kijijini huyo kachomoka zake!!

hahahaha!
Kumbe?
Sasa hivi na Mwamedi Saidi nae tamwona akatiza mitaa hii,
ila kuna mtu kila jukwaa yupo.
Juzi alikuja kule sports, hoja hana, basi tu kuleta ubishi.
 
yap! Hivi..alikopa pesa tuna debit assets(cash) 10,000 na ku credit wadeni kwa same amount. Aliponunua nguo tuna debit assets(nguo) 9,700 na ku credit cash kwa same amount. Aliporudisha deni kiasi, tuna debit wadeni kwa 200 na ku credit cash kwa same amount. At this point aki run trial balance, itasomeka hivi: cash dr 100 (=10000-9700-200); nguo dr 9,700; wadeni cr 9,800(=10,000-200). Sum of dr 9,800 and sum of cr 9,800. Mali alizonazo (cash na nguo ) zinalingana na deni alilonalo! Utaona kuwa kwenye hilo swali lako kwa makosa umejulisha deni na mali ili kupata kiwango cha deni!

Sina hakika kama inaeleweka.....shule nimetoka kitambo!

duh?
Hayo ndio majibu ya kitaalamu. Sasa kama Mimi Mphamvu Letsholonyane (B. Sc) nimeshindwa kuelewa ndo Lusinde ataelewa kweli?
Halafu ndio majembe wetu...
 
Lolz.....inategemea amesomea wapi na lini! Zamani (nadhani mpaka miaka ya 80 katikati) basics za mahesabu haya zilikuwa zinafundishwa kwenye somo la hisabati katka shule za sekondari!
 
msitoane macho jamani masuala ya Hisabati ni msamiati kwa watanzania wengi!!
 
Kwa shule 2lizosoma hizi za kata mbona naona maruerue!
POPOBAWA.
 
10,000 deni

punguzo 300

bei mpya 9,700

punguza sh 50 kwa kaka na dada = 50x2=100: 300-100= 200 inabaki baada ya kupunguza deni

5000-50=4950x2=9900

katika sh. 200 zilizobaki baada ya kupunguza deni toa 100 kumaliza deni; 200-100=100

9,900+100= 10,000

unabakiwa na 100

thanks
 
Back
Top Bottom