Najua unaniheshimu mzee. Lakini huku si ndiyo tunapopunguzia hasira zetu za kule kwenye kuulizana nchi yetu inakwenda wapi? Kwani wewe hujui kwamba hata Stephen Wasira naye huwa anapenda kucheka?Kigarama nakuheshimu ujue?
Nawaombeni calculator
Najua unaniheshimu mzee. Lakini huku si ndiyo tunapopunguzia hasira zetu za kule kwenye kuulizana nchi yetu inakwenda wapi? Kwani wewe hujui kwamba hata Stephen Wasira naye huwa anapenda kucheka?
Jana ilikuwa ni Birthday day yangu ndiyo mwanangu akanipa lile swali kama zawadi yangu ya kuzaliwa!!
umeongea hoja ya msingi sana Kiggy.
Unajua tangu nistaafu kwa muda lile jukwaa la siasa, nimegundua kuwa uzito umeongezeka, jana nimepima uzito mzani wa Magomeni hospitali nikakuta nina 74.9Kg, ukitoa uzito wa viatu, simu, kitambulisho, funguo ya gari na sarafu za mfukoni unakuta nina kitu kama 74Kg hivi.
Very healthy indeed, ukizingatia mimi si mnene sana na nina 184Cm za urefu.
Pia ban zimepungua, unakuta mnajadili ufisadi wa mkuu wa kaya na athari zake kwa uchumi wa inji, anakuja mtu anakuambia kuwa hata Dr. (Ph.D) alifisadi mke wa mtu,
dah, basi kiroho safi unampa stahiki yake then unakula ban ya miezi kadhaa.
Anyways, welcome to stress free zone mkuu.
Nitaku-PM baadae kwa details za viumbe wanaorun hii zone, ina uhusiano na MMU, remember?
Nashukuru kwa kunielewa ndugu yangu. Kule kila mtu hata yule ambaye hajui kitu kabisa anataka kuendesha watu, na kuna wengine ni werevu lakini ni mabingwa wa upotoshaji. Wakati mwingine huwa nahofia isije ikaja siku nikakutwa sofani nimeshakufa zaamaani kisa "jukwaa la siasa". Kuna watu wao wakiona watu wa dini 'zao" wameguswa basi wanaripuka!!
Najua kuna "Play master na Play maker" wa huku lakini nimejigeuza kambale wakitaka kunishika nateleza zangu!!
Ukindekeza jukwaa la siasa bila hata ya kuchepuka kidogo mwisho wa siku utapigwa kiharusi. Nilimuona Mwanakijiji MMU na hapa mara kadhaa lakini kama mimi na yeye kashindwa ku Cope na spidi za hapa. Mabusu motomoto kila mara, mzee wa watu kazoea kukimbizana na nyani kijijini huyo kachomoka zake!!hao wadini wachana nao bana.
Mimi kafiri nimezungukwa misikiti mitatu hapa, and life goes on, tunashirikiana nao kwa kila kitu (sometimez nguruwe).
Jukwaa la siasa verry stressful... Unatakiwa ukitoka huko upitie MK, au Jokes kusuuza mapovu ya jazba,
lol.
Umeona eenh!!Swali la wahasibu hili.....balance sheet equation....dr and cr....limeisha!
Yap!Umeona eenh!!
Ukindekeza jukwaa la siasa bila hata ya kuchepuka kidogo mwisho wa siku utapigwa kiharusi. Nilimuona Mwanakijiji MMU na hapa mara kadhaa lakini kama mimi na yeye kashindwa ku Cope na spidi za hapa. Mabusu motomoto kila mara, mzee wa watu kazoea kukimbizana na nyani kijijini huyo kachomoka zake!!
yap! Hivi..alikopa pesa tuna debit assets(cash) 10,000 na ku credit wadeni kwa same amount. Aliponunua nguo tuna debit assets(nguo) 9,700 na ku credit cash kwa same amount. Aliporudisha deni kiasi, tuna debit wadeni kwa 200 na ku credit cash kwa same amount. At this point aki run trial balance, itasomeka hivi: cash dr 100 (=10000-9700-200); nguo dr 9,700; wadeni cr 9,800(=10,000-200). Sum of dr 9,800 and sum of cr 9,800. Mali alizonazo (cash na nguo ) zinalingana na deni alilonalo! Utaona kuwa kwenye hilo swali lako kwa makosa umejulisha deni na mali ili kupata kiwango cha deni!
Sina hakika kama inaeleweka.....shule nimetoka kitambo!
Lolz.....inategemea amesomea wapi na lini! Zamani (nadhani mpaka miaka ya 80 katikati) basics za mahesabu haya zilikuwa zinafundishwa kwenye somo la hisabati katka shule za sekondari!duh?
Hayo ndio majibu ya kitaalamu. Sasa kama Mimi Mphamvu Letsholonyane (B. Sc) nimeshindwa kuelewa ndo Lusinde ataelewa kweli?
Halafu ndio majembe wetu...
msitoane macho jamani masuala ya Hisabati ni msamiati kwa watanzania wengi!!Lolz.....inategemea amesomea wapi na lini! Zamani (nadhani mpaka miaka ya 80 katikati) basics za mahesabu haya zilikuwa zinafundishwa kwenye somo la hisabati katka shule za sekondari!
ukichanganya na bei ya mafuta ya taa inavyopanda kila siku si ndiyo inakuwa balaa!!Kwa shule 2lizosoma hizi za kata mbona naona maruerue!
POPOBAWA.
Umesoma nilipomjibu Mphamvu kwenye hoja yake ya kwenye post #3 na jibu langu kwenye post ya #14?kiga bwana
avatar yako na post
sijui???