Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji23][emoji23] [emoji23]haya maswali ziulizeni mashine za EFD!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] [emoji23]haya maswali ziulizeni mashine za EFD!
We chizi kweli tangia lini mkopo ikajumlishwa na pesa iliyomkononi. Matumizi ndo yanaweza jumlishwa na pesa iliyo mkononi ili ujue kabla ya matumizi ulikuwa na kiasi gani. Mfano ukichukua 100 iliyobaki ukijumlisha na 9700 uliyotumia utapata 9800 uliyoEleza hiyo 100 imeenda wapi!
View attachment 445142
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]100 imekatwa VAT.. Ww unaishi dunia gani Hujui kuwa siku hizi kila kitu tunakatwa VAT..
Job true trueKazi kweli kweli
Kazi kweli kweliJob true true
Jamaa katoa chemsha bongo,katika waliojibu ndugu yangu nimekuelewa maana hata mimi jibu lilinizonga kwamba hakutakiwa kujumlisha pesa ya mkononi na deni bali ile 100 alitakiwa ajumlishe na pesa aliyonunulia shati..We chizi kweli tangia lini mkopo ikajumlishwa na pesa iliyomkononi. Matumizi ndo yanaweza jumlishwa na pesa iliyo mkononi ili ujue kabla ya matumizi ulikuwa na kiasi gani. Mfano ukichukua 100 iliyobaki ukijumlisha na 9700 uliyotumia utapata 9800 uliyo
kopeshwa
100 haijaenda kokote iko Mfukoni mwa MKOPAJI ,kanunua shati 9700 akalipa deni 200 ..huwezi kuchukua baki ya deni na kuchanganya na pesa ya mkononi.Eleza hiyo 100 imeenda wapi!
View attachment 445142
Umemlipa dada na kaka (tsh) 100 kila mmoja. Deni lililobaki kwenye (tsh) 10,000 uliyokopa kabla ni (tsh) 9,800. (Tsh) 100 uliyonayo mkononi imepatikana kwnye punguzo la bei ya nguo.Eleza hiyo 100 imeenda wapi!
View attachment 445142