sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,291
kuna post ya swali hili nliwahi kuiona humu ndani..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeiweka benk
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Umekwenda kwa muuza nguo ukaipenda nguo flan muuzaji akwambia bei 10,000! mfukoni huna pesa ukaenda kwa kaka yk akakukopesha 5000! na dada yako akakukopa pia5000! jumla ikawa10000! ukarudi kwa muuza nguo mkapatana akakufanyia 9700! na ukarudishiwa 300! ukarudi nyumbani ukapunguza deni kwa kaka sh100! ikabaki4900! na dada ukampa sh100! ikabaki pia 4900! na wewe ukabaki na sh 100! Sasa ukichukua 4900 ya kaka na 4900 ya dada inakua 9800! na wewe umebaki na sh 100! ambayo jumla ni 9900! sasa sh 100 imekwenda WP
chukua 9700 igawe kwa 2 ndo utapata den halisi la kaka na dada utapata 4850 haya jumlisha na ile 100 uliyowarudishia ongeza 50 kumbuka ulibak na 100 utapata 5000