Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 540
Hiki kiswali sasa kimekuwa kama wimbo wa taifa.
Kila siku lazima kiletwe hapa. Mpaka sasa sijajua ni kwanini asee
Inaelekea watu wengi ni vilaza wa hisabati.
jibu basi ww kisimama cha hisabati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki kiswali sasa kimekuwa kama wimbo wa taifa.
Kila siku lazima kiletwe hapa. Mpaka sasa sijajua ni kwanini asee
Inaelekea watu wengi ni vilaza wa hisabati.
Hivi hapa mkekani pamekua na udhaifu kiaje?
Pa kushindwa ku'create new quiz ?
Hili swali kukicha linarejea hapa! Au mnaagizwa na wataalamujadi mtuletee ?
hamjui bana ndo mana mnazuga
unauliza swali kama nani? muandaaji wa miss cc au mdhamini, naomba kujua hilo kwanza ndipo nijibu swali lako tafadhali. .
inabidi umuombe radhi Asprin refer ur heading akijibu swali awe
Anita Baby kasema atakayejibu ndio miss sasa nyie vidume Asprin, Judgement
na wengine kwanini mnaingia bafu la kike??????? Kwani ninyi nanyi mwagombea Miss Chit Chat???
Hili quiz lishaulizwaga sana hapa na majibu yake yanafahamika. Tungeweza kumjibu kama alitaka ajibiwe. Tatizo swali ni maalum kwa wanaogombea u-miss chit-chat ambao kwa bahati mbaya sana wote wana allergy na hisabati.
Mi nilikwepa hesabu,ngoja waliosoma maths waje wa2pe majawabu.
kumbe wana alej na hisabat ndo mana unawatetea?
Shosti Anita Baby hebu mpigie ciello kura kwanza then tutaangalia utaratibu wa kujibu swal lako......