mpalu
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,521
- 874
JF jamani kuna watu wa marika yote ni muhim basi kutumia lugha fasaha badala ya alama za ajabuajabu kulikuwa na haja gani ya kutumia hizo alama kufupisha post au ni ku-save muda au herufi s haipo kwenye iyo nanii yako .....naomba jamani kwa nia njema tu....hii sio facebook.....au kama vipi mode aanzisha majukwaa maalumu kwa lugha kama hizi...ni angalizo tuwe inaonesha hata bam 2 hukuxoma!!wanahexebu huwa ha2complicate lugha!!xo gpange bc