Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani nisaidieni kusolve puzzle hili:
Nguo inauzwa sh. 10,000/= Kwa kuwa huna pesa, ukaamua kukopa
kwa dada yako sh.5000 na
kwa kaka sh. 5000, ukapata
hiyo Sh.10,000. Ukaenda ukapatana na muuzaji na kuinunua kwa sh. 9,700,
ukarudishiwa sh.300.Ukaamua
kupunguza deni. Ukatoa sh.100
kwa kaka na 100 kwa
dada,ukabaki na 100.Hivyo
ikawa una deni kwa kaka 4900 na kwa dada
4900. Ukijumlisha unapata 9800, ukiongeza na ile 100 ya
kwako inakua 9900. JE 100
inayokosekana ili ifike 10,000 uliyokopa imekwenda wapi?
Bado unadaiwa .Jamani nisaidieni kusolve puzzle hili:
Nguo inauzwa sh. 10,000/= Kwa kuwa huna pesa, ukaamua kukopa
kwa dada yako sh.5000 na
kwa kaka sh. 5000, ukapata
hiyo Sh.10,000. Ukaenda ukapatana na muuzaji na kuinunua kwa sh. 9,700,
ukarudishiwa sh.300.Ukaamua
kupunguza deni. Ukatoa sh.100
kwa kaka na 100 kwa
dada,ukabaki na 100.Hivyo
ikawa una deni kwa kaka 4900 na kwa dada
4900. Ukijumlisha unapata 9800, ukiongeza na ile 100 ya
kwako inakua 9900. JE 100
inayokosekana ili ifike 10,000 uliyokopa imekwenda wapi?
Jamaa walikukopesha jumla ya shilling 10,000/= Hii inamaana kwamba kila mmoja alikukopesha shilling 5000/=. Mpaka hapo tuko sawa na maelezo yako.
Sasa basi kama ulipunguziwa ukauziwa kwa shilling 9700/= maana yake ni kuwa kila mmoja alikuchangia shilling 4850/=. Hivyo basi kama ungerudisha bila kubaki na hela yoyote ungemrudishia kila mmoja shilling 150/= (kwa watu wawili inakuwa 300/=) Ila wewe ulirudisha shilling 100/= kwa kila mmoja ambayo ambayo inaleta jumla ya shilling 4950/= kwa kila mmoja(4850/= + 100/=) Hivyo kila mmoja alibaki anakudai shilling 50 ambayo jumla yake ni 100/= ndo ile 100/= uliyobaki nayo. Hivyo bas ulitakiwa kabla ya kurudisha change uhjue mchango wa kila mmoja kwa kwenye ile bei uliyo nunulia i.e (9700/2 = 4850). Kama ungejua hilo basi inamaana kuwa ungegundua kuwa kila mmoja anastahili kuata shilling 150/= kwenye ile change yaanai shilling 300/= iliyobaki ila wewe ukawapa shilling 100/= ambayo inaleta jumala ya shilling 4950/= maana yake ni kuwa kila mmoja alibaki anakudai shilling 50/= amabayo ndo ile inakupatatia shilling 100/= uliyobaki nayo.
Logic unayotumia siyo sahihi. Logic ya Chona ndiyo sahihi. Hesabu ni logic.Nimekuelewa. Ila unatakiwa ufuate mgawanyo nilioutumia mm kisha unioneshe hiyo 100 inapunguaje, kama nilikosea kimahesabu nk
Jamani nisaidieni kusolve puzzle hili:
Nguo inauzwa sh. 10,000/= Kwa kuwa huna pesa, ukaamua kukopa
kwa dada yako sh.5000 na
kwa kaka sh. 5000, ukapata
hiyo Sh.10,000. Ukaenda ukapatana na muuzaji na kuinunua kwa sh. 9,700,
ukarudishiwa sh.300.Ukaamua
kupunguza deni. Ukatoa sh.100
kwa kaka na 100 kwa
dada,ukabaki na 100.Hivyo
ikawa una deni kwa kaka 4900 na kwa dada
4900. Ukijumlisha unapata 9800, ukiongeza na ile 100 ya
kwako inakua 9900. JE 100
inayokosekana ili ifike 10,000 uliyokopa imekwenda wapi?
Sasa kama wewe uliekopeshwa hujui ilipokwenda,
mimi ambae sikuwepo nitajua ilikoenda?
sijala samaki siku mingi hadi brain imechoka.
Afu hili swali lishakuja mara alfu kidogo
Sasa kama wewe uliekopeshwa hujui ilipokwenda,
mimi ambae sikuwepo nitajua ilikoenda?
Sasa kama wewe uliekopeshwa hujui ilipokwenda,
mimi ambae sikuwepo nitajua ilikoenda?
Hapa wangu umeniacha hoi sana!
Ila kweli ukiangalia utajua jamaa hayuko makini anapo pewa pesa!