Chemsha bongo: Thibitisha hapa kuwa wewe una vyeti orijino

Kwa hiyo 2000 ulio baki nayo na ten utakayo mpa jiran ambayo ni og na ww kubaki na feki huku umerudisha chenji ya 8000 bado tu unakua umekula hasara 10??? Acha uzuzu
 
Ww ni zwazwa wala c bashite dah sa ndo mwanao utamjaza upupu huu lazima awe chiz
 
Umeelezea vizuri sema net hasara anayopata muuza mkate ni 10000.Jirani amekuchanganya.
Jaribu kuweka scenario iwe hivi...uwe unauza mikate sema huna pesa yoyote mfukoni.Mteja akija na elfu kumi itabidi ukaombe change halafu umpe mteja mkate na elfu nane na wewe ubaki na elfu mbili tu mfukoni.Mpaka hapo hujagusa hela yako yoyote.
Jirani anapokuja kukudai itakubidi ukatoe sasa hela yako elfu nane uongeze na ile elfu mbili umpe.Kwahiyo umepata hasara ya elfu kumi net.usichanganyikiwe.
 
kuna thamani ya mkate tsh 2000+ elfu 8000 ya yule boya aloleta feki + 10000 ya kumrudishia jirani =20000



The answer is 20000 no bashitelism.
 
Ww ni zwazwa wala c bashite dah sa ndo mwanao utamjaza upupu huu lazima awe chiz
Kama vile mama yako alivyokujaza upupu na umekuwa chizi unatoa majibu yanayoakisi uhalisia wako,na haujui ulifanyalo.Tafadhali pita pembeni sio lazima uquote comment yangu kwa jibu la matusi mi sio mume wako,heshima kitu cha bure,kwani huwezi kutoa jibu bila konesha namna gani unawashwa.play your part muthafacka, mine ain't enough for you.

"A wise man says something because he has something to say,but a fool says something because he has to say something"--Plato

"the best never rest"
 
Jibu elfu 18.mnunuzi kaondoka tu na elfu 8. Thamani ya mkate aliouchukua usiihesabie kwa sababu tayari mwuzaji ameishakata elfu 2 zake na anazo mfukoni mwake. Sasa jumlishia elfu kumi alizotoa tena kwa jirani jumla ni elfu 18
Bigup, we kidume
 
Hasara ya elfu 10. Yaani umetoa elfu 10 ukampa mwenyewe hela fake elfu 8, na mkate wa elfu 2.
 
Hasara ni Tsh 18000.
Mteja kaondoka na pesa halali Sh 8000 na mkate wenye thamani ya Sh 2000 jumla kaondoka na 10000, kwa jirani ulichukua sh 10000 ambayo ukatoa sh 8000 kama change na kubakiwa na 2000 pesa halali, alivyokuja kugundua kuwa na fake na kutaka umrudishie ulimpa sh 10000 ambayo ndani yake kulikuwa na ile 2000 halali yake, so ukaongezea sh 8000 yako ambayo ni halali na kufanya hasara iwe Tshs 18000.
 
Swali fikirishi ile elfu nane ilitoka kwa nani? Kama kweli imepotea 18000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…