CHEMSHA BONGO: Watakaopata wana IQ zaidi ya 100, Kwa kutumia Hints Jibu swali kwa mtiriko husika

Jibu ni 062. Leta chemsha bongo nyingine!
Umekosa mkuu!
Rejea Hint namba moja.. "Kwahiyo 6 na 2 haziwezi kuwa Pamoja"
Na kwa hint namba tatu 0,6 na 2 haziwezi kuwa pamoja ni Eidha namba mbili kati ya hizo na sio Zote..
 
Unatumia process of elimination, and then order placement kwa kila digit. Hii ni back and forth process. Wenye IQ kubwa wataifanya kwa muda mchache, lkn wenye average IQ watachukua muda kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…