Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Mbele yako kuna swichi tatu za balbu, moja kati ya hizo huwasha balbu iliyo ghorofa ya chini. Kutoka mahali unaposimama, huwezi kuona mwanga wa ghorofa ya chini,
Chagua ni swichi gani inayotumia balbu, LAKINI unaweza kwenda chini kuiangalia mara moja tu.
Je Unatambuaje ni swichi ipi ya balbu ya chini ?
Chagua ni swichi gani inayotumia balbu, LAKINI unaweza kwenda chini kuiangalia mara moja tu.
Je Unatambuaje ni swichi ipi ya balbu ya chini ?