Chemsha Bongo

Chemsha Bongo

Teknocrat

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
4,967
Reaction score
11,056
Mbele yako kuna swichi tatu za balbu, moja kati ya hizo huwasha balbu iliyo ghorofa ya chini. Kutoka mahali unaposimama, huwezi kuona mwanga wa ghorofa ya chini,
Chagua ni swichi gani inayotumia balbu, LAKINI unaweza kwenda chini kuiangalia mara moja tu.
Je Unatambuaje ni swichi ipi ya balbu ya chini ?
 
Ngoja waje watoto wa mjini[emoji3][emoji3] sie tunaishi kijijin bulb yenyewe siijui hayo magrofa nayaonaga katika tv
 
Back
Top Bottom