mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Mtaelewa tu mdogo mdogo!! Huu mchezo hautaki hasira!!Duh sasa hii ni zaidi ya madharau, lakini kama kawaida yenu mtawapigia kura tuu hao hao, na wameongeza mikodi kwenye transactions itakayokula zaidi ya hizo 23,000 kwa mwezi, msiogope mabadiliko wafanyakazi wapeni wapinzani hata nusu ya viti vya ubunge hawa CCM ni wehu tuu na wana akili za kimaskini sana
Mwigulu ni tatizo.Kama nyongeza kwa kima cha chini ni sh 23,300/= maana yake nyongeza inapungua kwa kadri mshahara unavyokuwa mkubwa hadi nyongeza inakuwa chini ya sh 10,000/=. Na ndivyo watumishi mlivyopata kwenye mishahara yenu! Bila shaka sasa nimeeleweka!
[emoji38][emoji38][emoji38]
Hakuna mwalimu atagoma Tanzania hii chiefMgomo wa daktari ni mzuri maana mgonjwa atakufa leo na serikali itang'amua mapema na kutatua tatizo.
Mgomo wa mwalimu ni balaa maana tatizo litajulikana miaka mitano mbele na tayari kizazi kimeshaharibika.
Mama hajui kama anadanganywa na washauri wake atakaokutana nao 2025.
Wewe ndiyo yeye?Kama nyongeza kwa kima cha chini ni sh 23,300/= maana yake nyongeza inapungua kwa kadri mshahara unavyokuwa mkubwa hadi nyongeza inakuwa chini ya sh 10,000/=. Na ndivyo watumishi mlivyopata kwenye mishahara yenu! Bila shaka sasa nimeeleweka!
Acha kuandika ujinga kama huu.Mbona Mwendazake mlikuwa mnahusisha Kwa mabaya yote yaliyokuwa yaliyokuwa yakitokea hapa nchi.Hakika CHADEMA NI SHIDA KUBWA HAPA. NCHIMwigulu ni tatizo.
Hakuna kitu ana agizwa na Mh. Rais halafu aka fanya kama alivyo agizwa. Kumbukeni haya machache,
Tozo kwenye miamala ya simu.
Ruzuku kwenye mafuta ya magari
Gharama kwenyemafuta ya chakula. Na sasa mishahara.
Lengo la huyu rais wa mawe ni kumgombanisha Mh Rais na wananchi.
Kuna hitajika badiliko wizara ya fedha asap
Yeye Hana macho?Yeye hatembei?CCM inabidi iondoke Kwa mtutuMama anachonganishwa aisee, Anawekewa mazingira Magumy 2025 asitobeo yuko Circled na watu wanaotaka kiti chake
Watu wengi hawajui Hili Mwigulu ni waziri wa fedha ambae ndie huumiza Watanzania ...mtu akijua hili hawez kumpenda huyo jamaaMwigulu ni tatizo.
Hakuna kitu ana agizwa na Mh. Rais halafu aka fanya kama alivyo agizwa. Kumbukeni haya machache,
Tozo kwenye miamala ya simu.
Ruzuku kwenye mafuta ya magari
Gharama kwenyemafuta ya chakula. Na sasa mishahara.
Lengo la huyu rais wa mawe ni kumgombanisha Mh Rais na wananchi.
Kuna hitajika badiliko wizara ya fedha asap