statement ya chenge, kupitia habarileo::::
"""Bajaj ile ilikuwa inataka kupita gari jingine lililokuwa likitoka Morogoro Stores, bahati mbaya kukawa na gari lingine linakuja, ile bajaj ikabana upande wangu na mimi nilikuwa katika mwendo wa kati ya kilometa 80 hadi 100 kwa saa, alidai Chenge. Alidai kuwa baada ya kuona bajaj ile inakwepa gari la mbele wasigongane uso kwa uso, alirudi upande wa kulia ndipo alipoigonga ubavuni kushoto. "Gari la nyuma lingesimama, dereva wake angeweza kueleza vizuri, ila baada ya ajali nikasikia watu wanaita 'Chenge! Chenge! nikajua niko salama, nikashuka, alidai. ""
Conclusion yangu ni kuwa:::
Chenge ndiye aliyekuwa anataka kuipita bajaj kwa mwendo wa kasi, na alipoona kuna gari linakuja upande wa kulia akakwepa head on collision ndio akarudi kwenye lane iliyokuwa bajaj, na kuigonga kwa upande wake wa kushoto.
Swali gumu nalopata ni kwanini dereva wa bajaj kakimbia?? Sioni sababu yoyote ya yeye kukimbia?? Je amekimbia au kawekwa sehemu?? Nadhani utata wote upo hapo, lakini kiutaalamu hii accident picha na maelezo ya chenge, conclusion ni hiyo tu, yeye ndiye aliyekuwa anataka kuovertake.
Hapo sheria si itapindishwa tuuuu!
Good analysis,
Ukiangalia kwenye hiyo picha ya gari la chenge, limeumia upande wa kushoto na sio kulia hivyo nikweli yeye ndie alikua anataka kovertake katika kutaka kurudi kwenye position yake ndio akahit hito bajaji.
Kama atasema alikua katika harakati za kuikwepa, maaana yaka alisogea upande wa kulia na hapo lazima aliyekua anakuja kutoka upande wa pili angempiga pasi ama headon coallion maana wakati wa impact gari yake lazima ingehamia upande wa pili that could be one scenario
Scenario B, chenge alikua mlevi hivyo hakuwa makini na probably alisinzia wakati anaendesha (saa tisa za usiku, plus kinywaji) hivyo alishtushwa baada ya impact. Ndio maana ukimwuliza waliosema chenge chenge ni kina nani??? walifika kwenye tukio baada ya muda gani wakati yeye anasema gari lililokuwa upande wa pili halikusimama?????

Aliendelea kudai kuwa aliposhuka, alikuta abiria wawili wanawake wakiwa bado wanapumua ingawa kwa shida, lakini walipofika trafiki hali zao zilizidi kuwa mbaya na katika kipindi hicho chote, dereva wa bajaj alikuwa haonekani. Naye askari wa usalama barabarani aliyefika katika ajali hiyo, Mustafa Salum, alimweleza Kivuyo juu ya tukio hilo, ambapo alisema alipata taarifa za ajali hiyo saa 10.30 alfajiri na alipofika eneo la tukio, alikuta tayari abiria hao wawili wameshafariki dunia.
Nah!
Lets be fair and objective. Chenge kafanya ajali kama wengine tu na kifo cha ajali siyo mauaji\murder bali ni kusababisha kifo thru ajali.Hali hii yaweza kumpata ..yeyotena sioni kupindisha sheria kukitokea.

hapo swala jingine alikuwa na hiyo sticker ya zain, hiyo sticker unapewa tu iwapo gari imechikiwa na kuthibitishwa kwamba inaweza kutembea barabarani, vitu vinavyoangaliwa ni CD ya gari ni valid, insuarance ni valid gari lenyewe halina matatizo techniacally, sasa hapa utaona hiyo sticker kapewa mwaka 2009, insurance imeisha 2007 alipewa vipi kama sio kainunua kwa 5000 bila kupeleka gari kwa ukaguzi ( RUSHWA POLICE ), mtoaji na mpokeaji wote maji ga nyanza
Regards
kipa
Lakini ilikuwa saa 10 usiku
Cha kushangaza zaidi gari la Mh,Chenge alilopata nalo ajali lilikuwa halina insurance ya mwaka huu kwani aliyokuwa aikitumia ni ya mwaka 2007 ambayomtayari muda wake umeshaisha zaidi ya miaka 2.
Apo naona unakwenda kasi mbona karatasi inaonyesha kuwa bima itamalizika mwezi wa nne ,(22/04/09 ) ,angalia vizuri kuna ,Type Toyota,Hilux ,engene namba ,Chasis number ,Colour Silver ,body type pickup,hiyo ndio karatasi ya Bima.Kwanza namshukuru Mtangazaji Jerry Muro kwa kazi nzuri na maswali yaliyoenda shule kwa Kamanda Kivuyo hivi utaratibu wa kuunda tume tume
Halafu kwenye hiyo stika ya insurance hakuna company ya insurance inayoitwa ROYAY INS. (T) LTD?? 100% FAKE
Wakuu niulize kitu kimoja.. Hizi Bajaj huwa haziko registered?.. ina maana mtu akikimbia hawezi kutafutwa kwa njia yoyote kupitia vitambulisho vya mmliki wa Bajaj hiyo!...
Hakika nadhani sasa tuna kila sababu ya kuwa na vitambulisho maanake madereva wote siku hizi wakiua wanatoka mkuku tu na hawapatikani tena..Tukumbuke kifo cha Salome Mbatia..