Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

Somo muhimu wakati unajifunza kuendesha gari: 'be careful of pedestrians and other traffic'!

Chenge ameendesha gari lake at the very high speed kwenye residential area na si kwenye high speeding lane!

Chenge (akiwa anajua) anaendesha gari ambalo insurance yake ime expire pamoja na road insure pia.

Chenge anagonga na kuua (MUNGU ALAZE MAHALA PEMA ROHO ZA MAREHEMU) lakini hajisalimishi kwenye vyombo vya usalama.

Cha kushangaza sasa KOVA AMEUNDA TUME KUCHUNGUZA AJALI BADALA YA KUFUATA NJIA YA KAWAIDA YA KUPELEKA KESI MAHAKAMNI!\

CHENGE NI NANI NCHI HII JAMANI....
 
statement ya chenge, kupitia habarileo::::

"""“Bajaj ile ilikuwa inataka kupita gari jingine lililokuwa likitoka Morogoro Stores, bahati mbaya kukawa na gari lingine linakuja, ile bajaj ikabana upande wangu na mimi nilikuwa katika mwendo wa kati ya kilometa 80 hadi 100 kwa saa,“ alidai Chenge. Alidai kuwa baada ya kuona bajaj ile inakwepa gari la mbele wasigongane uso kwa uso, alirudi upande wa kulia ndipo alipoigonga ubavuni kushoto. "Gari la nyuma lingesimama, dereva wake angeweza kueleza vizuri, ila baada ya ajali nikasikia watu wanaita 'Chenge! Chenge!’ nikajua niko salama, nikashuka,“ alidai. ""

Conclusion yangu ni kuwa:::

Chenge ndiye aliyekuwa anataka kuipita bajaj kwa mwendo wa kasi, na alipoona kuna gari linakuja upande wa kulia akakwepa head on collision ndio akarudi kwenye lane iliyokuwa bajaj, na kuigonga kwa upande wake wa kushoto.

Swali gumu nalopata ni kwanini dereva wa bajaj kakimbia?? Sioni sababu yoyote ya yeye kukimbia?? Je amekimbia au kawekwa sehemu?? Nadhani utata wote upo hapo, lakini kiutaalamu hii accident picha na maelezo ya chenge, conclusion ni hiyo tu, yeye ndiye aliyekuwa anataka kuovertake.

Good analysis,

Ukiangalia kwenye hiyo picha ya gari la chenge, limeumia upande wa kushoto na sio kulia hivyo nikweli yeye ndie alikua anataka kovertake katika kutaka kurudi kwenye position yake ndio akahit hito bajaji.

Kama atasema alikua katika harakati za kuikwepa, maaana yaka alisogea upande wa kulia na hapo lazima aliyekua anakuja kutoka upande wa pili angempiga pasi ama headon coallion maana wakati wa impact gari yake lazima ingehamia upande wa pili that could be one scenario

Scenario B, chenge alikua mlevi hivyo hakuwa makini na probably alisinzia wakati anaendesha (saa tisa za usiku, plus kinywaji) hivyo alishtushwa baada ya impact. Ndio maana ukimwuliza waliosema chenge chenge ni kina nani??? walifika kwenye tukio baada ya muda gani wakati yeye anasema gari lililokuwa upande wa pili halikusimama?????
 
Hiyo ni ajali...I dont think alidhamiria kuua so sheria ifuate mkondo na c kwa kuangalia aliegonga ni mtu wa namna gani.
 
Hapo sheria si itapindishwa tuuuu!

Nah!
Lets be fair and objective. Chenge kafanya ajali kama wengine tu na kifo cha ajali siyo mauaji\murder bali ni kusababisha kifo thru ajali.Hali hii yaweza kumpata ..yeyotena sioni kupindisha sheria kukitokea.

Binafsi naogopa sana kupanda bajaj maana madereva wake wanaonekana siyo makini na wana fujo kuliko hata madereva wa daladala.
 
Good analysis,

Ukiangalia kwenye hiyo picha ya gari la chenge, limeumia upande wa kushoto na sio kulia hivyo nikweli yeye ndie alikua anataka kovertake katika kutaka kurudi kwenye position yake ndio akahit hito bajaji.

Kama atasema alikua katika harakati za kuikwepa, maaana yaka alisogea upande wa kulia na hapo lazima aliyekua anakuja kutoka upande wa pili angempiga pasi ama headon coallion maana wakati wa impact gari yake lazima ingehamia upande wa pili that could be one scenario

Scenario B, chenge alikua mlevi hivyo hakuwa makini na probably alisinzia wakati anaendesha (saa tisa za usiku, plus kinywaji) hivyo alishtushwa baada ya impact. Ndio maana ukimwuliza waliosema chenge chenge ni kina nani??? walifika kwenye tukio baada ya muda gani wakati yeye anasema gari lililokuwa upande wa pili halikusimama?????

Thanks for the analysis
Kawa kuwa KOVA ameunda tume hapa kuna harufu ya Ufisadi and I don't know anaweka precedence gani kwa JAMII that is a traffic case yenye jinai kwa kuunda tume kuna mushikeli mkubwa hapa. Tutabakia na maswali mengi kuliko majbu. Kamanda Kivuyo was a total mess hakuweza kutuambia kwa nini alikwenda kusimamia kazi ambayo at most RTO in the worst case scenario angeenda kwenye site ya tukio kama yule inspector angechora ramani yenye utata. Kwa akili ya kawaida Vijisenti angepelekwa kwa Pilato na Mahakama ingetoa taswira sahihi vinginevyo its another political comedy. Let us wait and see that is we shall cross the Bridge when we come to it.
 
Good analysis,

Ukiangalia kwenye hiyo picha ya gari la chenge, limeumia upande wa kushoto na sio kulia hivyo nikweli yeye ndie alikua anataka kovertake katika kutaka kurudi kwenye position yake ndio akahit hito bajaji.

Kama atasema alikua katika harakati za kuikwepa, maaana yaka alisogea upande wa kulia na hapo lazima aliyekua anakuja kutoka upande wa pili angempiga pasi ama headon coallion maana wakati wa impact gari yake lazima ingehamia upande wa pili that could be one scenario

Scenario B, chenge alikua mlevi hivyo hakuwa makini na probably alisinzia wakati anaendesha (saa tisa za usiku, plus kinywaji) hivyo alishtushwa baada ya impact. Ndio maana ukimwuliza waliosema chenge chenge ni kina nani??? walifika kwenye tukio baada ya muda gani wakati yeye anasema gari lililokuwa upande wa pili halikusimama?????

Hivi Chenge yeye alikuwa hajui kuwa hakutakiwa kuendesha gari akiwa under influence of Alcohol?

Mimi nadhani anakesi ya kujibu, kila siku kuna traffic signs nyingi sana barabarani ambazi zina sema "mwendo wa kasi unaweza kusababisha kifo" kuna nyingine zinasema " Don't drink and drive" sasa Mzee wa Vijisent amedharau yote haya!
 
Aliendelea kudai kuwa aliposhuka, alikuta abiria wawili wanawake wakiwa bado wanapumua ingawa kwa shida, lakini walipofika trafiki hali zao zilizidi kuwa mbaya na katika kipindi hicho chote, dereva wa bajaj alikuwa haonekani. Naye askari wa usalama barabarani aliyefika katika ajali hiyo, Mustafa Salum, alimweleza Kivuyo juu ya tukio hilo, ambapo alisema alipata taarifa za ajali hiyo saa 10.30 alfajiri na alipofika eneo la tukio, alikuta tayari abiria hao wawili wameshafariki dunia.

It hurts me bse I have a feeling that these poor girls' lives could have been saved! Who knows? Baada ya ajali Chenge mwenyewe anasema kwamba walikuwa bado wanapumua- but what attempts did he do to try to rescue their lives? Priority hapa ni nini? Kuwajulisha polisi au kuwakimbiza hospitali by any means necessary? But from his story utaona kwamba ajali ilitokea sa 10 na trafiki walipata taarifa za ajali sa 10.30, give them another at least 10-15 minutes to get to the scene- dakika 45! But he just chose to sit there and wait for the traffic police to arrive while these girls were fighting for their lives! Katika hizi dakika 45- he could have or at least try to do something for these poor souls.
 
Nah!
Lets be fair and objective. Chenge kafanya ajali kama wengine tu na kifo cha ajali siyo mauaji\murder bali ni kusababisha kifo thru ajali.Hali hii yaweza kumpata ..yeyotena sioni kupindisha sheria kukitokea.

Unayosema ni kweli kabisa lakini tatizo ni kuwa katika hali kama hii, kunaweza kuwa na upindishaji kiasi kwamba haki ikanyimwa kutendeka... nadhani huo ndio wasiwasi wa watu wengi. Itafurahisha iwapo itachukuliwa hii kama zinavyochukuliwa ajali nyingine na sheria ikachukua mkondo wake
 
Nah!
Lets be fair and objective. Chenge kafanya ajali kama wengine tu na kifo cha ajali siyo mauaji\murder bali ni kusababisha kifo thru ajali.Hali hii yaweza kumpata ..yeyotena sioni kupindisha sheria kukitokea.

Kama ajali zote za Dar tu zingeundiwa TUME tungeamini kuwa kuna usawa unaendelea hapa. Ni kwa nini Chenge aundiwe tume ya kuchunguza ajali yake? Yeye ni nani hata umlazimu Kova atumie tena vijicent vyetu kuchunguza ajali yake?
Ninakubaliana kuwa hii ni ajali kama ajali nyingine! Lakini kwa nini ichukuliwe kwa mtizamo huu?
Na pia Chenge naye hakuwa makini hata kidogo. Hata mimi ni dereva, kuangalia na kuwa na kumbukumbu ya insurance etc ni wajibu wa dereva anayeendesha gari. Ina maana hakujua kuwa anaendesha gari mfu?
Hata kama anamtuma dereva wake kukata insurane ina maana hana feedback ya ni nini kimetumika?
Amini mchakato mzima wa kuunda tume ni kuwaziba mdomo wadanganyika.
 
hapo swala jingine alikuwa na hiyo sticker ya zain, hiyo sticker unapewa tu iwapo gari imechikiwa na kuthibitishwa kwamba inaweza kutembea barabarani, vitu vinavyoangaliwa ni CD ya gari ni valid, insuarance ni valid gari lenyewe halina matatizo techniacally, sasa hapa utaona hiyo sticker kapewa mwaka 2009, insurance imeisha 2007 alipewa vipi kama sio kainunua kwa 5000 bila kupeleka gari kwa ukaguzi ( RUSHWA POLICE ), mtoaji na mpokeaji wote maji ga nyanza

Regards
kipa

Huo ndo utaratibu wa Bongo! Hizo sticker nimezinunua sana, na sijawahi kufanyiwa ukaguzi wowote, na sikutoa rushwa.
Hizo sticker ni njia ya kukusanya pesa tu hakuna lingine lolote.
 
Lakini ilikuwa saa 10 usiku

...na ilikuwa kwenye mitaa yao ya kujidai! Kila nyumba ina mlinzi wa G4 ama KSupport! Mob Justice ni huku mashenzini kwetu ndugu yangu, sio huko! Angeweza kufanya analotakiwa kufanya bila kufanyiziwa na kidampa yoyote!!
 
Licha ya kwamba wanasema alikuwa na totozz pembeni na kwamba ilikuwa yupo bwiiii bado jamaa anaweza kushinda kesi maana inaelekea hata dereva wa Bajaj hakuwa na leseni kwa mawazo yangu maana kukimbia kwake ndio kunampa jamaa ushindi.
 
Wakuu niulize kitu kimoja.. Hizi Bajaj huwa haziko registered?.. ina maana mtu akikimbia hawezi kutafutwa kwa njia yoyote kupitia vitambulisho vya mmliki wa Bajaj hiyo!...
Hakika nadhani sasa tuna kila sababu ya kuwa na vitambulisho maanake madereva wote siku hizi wakiua wanatoka mkuku tu na hawapatikani tena..Tukumbuke kifo cha Salome Mbatia..
 
"Lets be fair and objective. Chenge kafanya ajali kama wengine tu na kifo cha ajali siyo mauaji\murder bali ni kusababisha kifo thru ajali.Hali hii yaweza kumpata ..yeyotena sioni kupindisha sheria kukitokea.

Kama ajali zote za Dar tu zingeundiwa TUME tungeamini kuwa kuna usawa unaendelea hapa. Ni kwa nini Chenge aundiwe tume ya kuchunguza ajali yake? Yeye ni nani hata umlazimu Kova atumie tena vijicent vyetu kuchunguza ajali yake?"

***************************************

Eeka Mangi: Kuna mwana JF mmoja alishasema kuwa ni changa la macho. Badala ya mamlaka husika kumpandisha kizimbani kwa kupokea mulungula wa radar (na kumgawia nyingine fisadi mwenzie Dr Rashid) -- jinai ambayo ushahidi upo tayari (according to SFO report), sasa wanalikuza hili la ajali! Wanaona woga/aibu n.k. kuuomba ushahidi huo wa SFO kwani ni moto kwao!! Sasa wanahangaika kuonyesha eti Vijisenti sasa kanasa kweli kweli na haki lazima itndeke kwa kuunda tume.

Kama wanataka haki wamsimamishe kizimbani kwa kosa la rushwa kama kweli wana ubavu -- na kama kweli serikali yao haijawekwa mfukoni na mafisadi, kama wanavyosema kila siku. UKWELI NI KWAMBA IMEWEKWA MFUKONI NA MTANDAO WA AKINA RA, EL, KARAMAGI, na wengineo, huku mkuu wa kaya akiwakodolea macho, akijua kwamba wao wanajua yeye hawezi kamwe kufanya chochote!
 
Last edited:
Cha kushangaza zaidi gari la Mh,Chenge alilopata nalo ajali lilikuwa halina insurance ya mwaka huu kwani aliyokuwa aikitumia ni ya mwaka 2007 ambayomtayari muda wake umeshaisha zaidi ya miaka 2.

1537.jpg

Kwanza namshukuru Mtangazaji Jerry Muro kwa kazi nzuri na maswali yaliyoenda shule kwa Kamanda Kivuyo hivi utaratibu wa kuunda tume tume

Halafu kwenye hiyo stika ya insurance hakuna company ya insurance inayoitwa ROYAY INS. (T) LTD?? 100% FAKE
 
Kwanza namshukuru Mtangazaji Jerry Muro kwa kazi nzuri na maswali yaliyoenda shule kwa Kamanda Kivuyo hivi utaratibu wa kuunda tume tume

Halafu kwenye hiyo stika ya insurance hakuna company ya insurance inayoitwa ROYAY INS. (T) LTD??

*******************

Ngoma Nzito: Kweli sasa ngoma inakuwa nzito iwapo ni kweli hiyo kampuni ya Bima ni feki. Lakini hata hivyo u-feki wa sticker hiyo hauna maana tena kwa sababu sticker yenyewe ilisha expire!
 
Kwanza namshukuru Mtangazaji Jerry Muro kwa kazi nzuri na maswali yaliyoenda shule kwa Kamanda Kivuyo hivi utaratibu wa kuunda tume tume

Halafu kwenye hiyo stika ya insurance hakuna company ya insurance inayoitwa ROYAY INS. (T) LTD?? 100% FAKE
Apo naona unakwenda kasi mbona karatasi inaonyesha kuwa bima itamalizika mwezi wa nne ,(22/04/09 ) ,angalia vizuri kuna ,Type Toyota,Hilux ,engene namba ,Chasis number ,Colour Silver ,body type pickup,hiyo ndio karatasi ya Bima.

Sasa kama unataka nikusomee na hilo la kati la idara ya Bima ambalo limehusisha na Zanzibar act 1953 sema, usione soo.
 
Commission Of Insurance Tanzania
Road Traffic Act 1953 Auto Vehicle Insurance Ordinance Auto Decree 1953 (ZANZIBAR)
 
Understably perhaps the JF Mob wants to crucify Chenge lakini in this matter.. jamaa haguswi kwakweli... Anakosa la kutokuwa na insuarance lakini dereva wa bajaj kutoweka imempa jamaa nafasi nzuri yakuonekana msafi... And to be honest Bajaj pale maisha hua zina jichomeka barabarani so atakama Chenge alikuwa kawaka wmanzo mwisho.... bajaj hazina safety features nothin.. mimi personally sipandi..lol and never will..its just dangerous..
 
Wakuu niulize kitu kimoja.. Hizi Bajaj huwa haziko registered?.. ina maana mtu akikimbia hawezi kutafutwa kwa njia yoyote kupitia vitambulisho vya mmliki wa Bajaj hiyo!...
Hakika nadhani sasa tuna kila sababu ya kuwa na vitambulisho maanake madereva wote siku hizi wakiua wanatoka mkuku tu na hawapatikani tena..Tukumbuke kifo cha Salome Mbatia..

Mkuu, bajaji zinasajiliwa na hii inayohusika na ajali hii ni yenye namba T736 AXE ambayo inamilikiwa na Zuwena Feith. Polisi wamemtaka Zuwena ajisalimishe ili asaidie polisi hasa kuhusu dereva aliyetoroka baada ya ajali.

But who knows labda dereva ameambiwa akimbie au alikufa na wameficha ili kesi iwe rahisi kwa mheshimiwa.
 
Back
Top Bottom