Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,286
- 8,380
Inasikitisha, lakini hata hiyo Bajaj mbona huhoji ilikuwa inatoka wapi? Simtetei Chenge lakini naamini hivi:...sasa saa tisa za usiku alikuwa anatoka wapi mzee wa visenti au ndio kwenye vikao vya mafisadi?
"Kila jambo linalomkuta binadamu lina maana yake!"