Selous
JF-Expert Member
- Jan 13, 2008
- 1,325
- 145
- Hizi habari kama ni za kweli basi ni very disturbing news, my heart goes to familia ya marehemu dereva wa hiyo bajaji,
- Wenzetu US siku hizi wamezi-adjust sheria za barabara kwa hiyo kwao sasa ajali inaangaliwa case by case sio generalization kama hapa kwetu, inasikitisha sana.
William.
Hivi hapa Bongo kuna sheria za usalama barabarani au tunakwenda kusema kuwa ni kudra za mwenyezi Mungu? Halafu Tanzania Mungu ndo hatupendi jamani mbona ajali za kifo ni za kwetu tu?
Aahhaaa nimekumbuka wema wanachukuliwa mapema ilihali wabaya wanapewa muda wakutubu maana Mungu anatupenda sana