Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

Wengi wenu hamujui ukweli wa hii kesi

Aliyewagonga wale mabinti ni Mke wa Chenge na wala sio Chenge mwenyewe..

Chenge aliamua kuibeba hii kesi ili kumuokoa mke wake asiende na maji... Kumbuka mke wa Chenge aliwakuta hawa mabinti wanalewa na Chenge,ndipo wakachukua Bajaji haraka ili waondoke eneo la tukio, mke wa Chenge akawa anawakimbiza kwa nyuma na Toyota Hilux, si akawabutua kwa nyuma wakafa!
 
Naaam, naaaam ndio maana kwenye Ile thread ya Nasra wa UDOM niliuliza kuwa huenda ikawa Yale ya Vicky wa Chenge
 
Saanane had a slow and painful death thus we believe he had ample time to plead with God upon imminent death.

RIP Saanane, aliyekumaliza naye amekufuata maana alidhani ataishi milele.
 
RPC, RTO, DTO walipiga hela ya maana hapa.

Hata pale Dom hii ajali ya juzi naamini nao wamepiga heka ya maana, maana kuficha kifo cha bint wa 'yudom' mh!


Wamesuka suka story eti alionekana tarehe 27 chuoni, tarehe 3 maiti yake ikasafirishwa kutoka moshi kwenda singida😅, ko Ili kuficha hajafia dom mkaamua muipeleke maiti Himo kwenye kile kihospital cha Faraja Huruma kwa Dr Minja? Shame on U naibu wazir!
 
Kuna watu makatili sana. Kuna mwenye picha ya huyo mama katili?
 
Huyo mwanamke alikuwa ni mpuuzi sana, ndio aue watu kwa kosa la mumewe?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…