Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Hhhhhhhhhhhhhhh dah we acha tu kifo ni fumbo aisee ata ss tutakufa tuKinachosikitisha zaidi ni kwamba wengi wa wachangiaji kwenye thread hii ni marehemu Kwa sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhhhhhhhhhhhhhh dah we acha tu kifo ni fumbo aisee ata ss tutakufa tuKinachosikitisha zaidi ni kwamba wengi wa wachangiaji kwenye thread hii ni marehemu Kwa sasa.
KabisaKinachosikitisha zaidi ni kwamba wengi wa wachangiaji kwenye thread hii ni marehemu Kwa sasa.
Wengi wenu hamujui ukweli wa hii kesi![]()
Machi 2009, Mbunge wa Bariadi Magharibu, Andrew Chenge akikimbia kuingia katika gari aina ya Haria T362ASP baada ya kutolewa mlango wa nyuma na kuwakwepa wapigapicha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Dar es Salaam alipofikishwa kusomewa shitaka lake la ajali barabarani na kusababisha vifo vya watu.
![]()
Gari la Chenge lililohusika katika ajali hiyo.
![]()
Bajaji iliyogongwa na Chenge na kuua mabinti waili waaliokuwemo.
Baada ya kuua Mh. Chenge mwaka 2010 alikuja kuchaguliwa kuwa Mbunge kupitia CCM baada ya kupigiwa kampeni ya nguvu na First Lady, Salma Kikwete na baadaye kuteuliwa na Raisi Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Waziri.
Nyadhifa nyingine alizokuja kutunukiwa vijisenti ni pamoja na kuongoza kamati ya maadili ya chama, Mwenyekiti wa Kamati ya Budget Bungeni, na baadaye Mwenyekiti wa Kamati ya kuandika Katiba mpya. Kwa sasa ni nyoka mwenye makengeza anayejua kutafuta hela.
Duh huyu member yupo?? Mkongwe mwenzanguAh kumbe ajali!! Utamu wote ushapotea . Aksante anyway.
Alikuwa anaendesha yeye personally au driver?
Naaam, naaaam ndio maana kwenye Ile thread ya Nasra wa UDOM niliuliza kuwa huenda ikawa Yale ya Vicky wa ChengeWengi wenu hamujui ukweli wa hii kesi
Aliyewagonga wale mabinti ni Mke wa Chenge na wala sio Chenge mwenyewe..
Chenge aliamua kuibeba hii kesi ili kumuokoa mke wake asiende na maji... Kumbuka mke wa Chenge aliwakuta hawa mabinti wanalewa na Chenge,ndipo wakachukua Bajaji haraka ili waondoke eneo la tukio, mke wa Chenge akawa anawakimbiza kwa nyuma na Toyota Hilux, si akawabutua kwa nyuma wakafa!
Kwahio usipoonekana tu hapa jf ina maana ni marehemu duhKabisa
joined 2007 last seen 2016
Joined 2007 last seen 2017
Joined 2008 last seen 2010
Joined 2007 last seen 2014
Hawa wote wanahisiwa ni marehem kwa Sasa na mwingine alikua platinum member
Unajua maana ya kuhisiwa?Kwahio usipoonekana tu hapa jf ina maana ni marehemu duh
Kabisa kabisa mkuuNaaam, naaaam ndio maana kwenye Ile thread ya Nasra wa UDOM niliuliza kuwa huenda ikawa Yale ya Vicky wa Chenge
Saanane had a slow and painful death thus we believe he had ample time to plead with God upon imminent death.Una uhakika ulimjua Kama yeye binafsi alivyojijua na Mungu wake alivyomjua. Dunia ni ya ajabu sana. Mtu akijiaminisha jambo, atatoa sifa tu na the vice versa is also true.
A better place is not a reward for those we like, it’s a place for those who deserve it. We do not know them. BUT HOPE stirbt zuletzt.
RPC, RTO, DTO walipiga hela ya maana hapa.Wana JF -- kuna habari kwamba yule Bwana wa Vijisenti, Andrew Chenge anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay kwa kuua watu wawili kwa kugonga Bajaj. Habari zaidi bado hazijapatikana. Tafadhali fuatilieni habari hizi.
View attachment 525054
Gari la Chenge lililosababisha ajali
View attachment 525053
Bajaj iliyongongwa na Chenge na kusababisha vifo
Pumzika kwa amani kamanda, kama ndoto vile leo hii haupo tena, dahNimeona kuna umuhimu wa kuirudisha hii thread
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwahio usipoonekana tu hapa jf ina maana ni marehemu duh
Kuna watu makatili sana. Kuna mwenye picha ya huyo mama katili?Wengi wenu hamujui ukweli wa hii kesi
Aliyewagonga wale mabinti ni Mke wa Chenge na wala sio Chenge mwenyewe..
Chenge aliamua kuibeba hii kesi ili kumuokoa mke wake asiende na maji... Kumbuka mke wa Chenge aliwakuta hawa mabinti wanalewa na Chenge,ndipo wakachukua Bajaji haraka ili waondoke eneo la tukio, mke wa Chenge akawa anawakimbiza kwa nyuma na Toyota Hilux, si akawabutua kwa nyuma wakafa!
Vizazi vyao kujua jambo kama hili ni karma tosha.Interesting!
Anyway hamna kitu kama karma in life! Leo hii wapo bado wakicheza na wajukuu zao...
Huyo mwanamke alikuwa ni mpuuzi sana, ndio aue watu kwa kosa la mumewe?Wengi wenu hamujui ukweli wa hii kesi
Aliyewagonga wale mabinti ni Mke wa Chenge na wala sio Chenge mwenyewe..
Chenge aliamua kuibeba hii kesi ili kumuokoa mke wake asiende na maji... Kumbuka mke wa Chenge aliwakuta hawa mabinti wanalewa na Chenge,ndipo wakachukua Bajaji haraka ili waondoke eneo la tukio, mke wa Chenge akawa anawakimbiza kwa nyuma na Toyota Hilux, si akawabutua kwa nyuma wakafa!
Unategemea nini?
Nchi haina Uongozi.
Viongozi wote wanaogopana. Wote wanamaovu. ...
Hakuna wa kusimama na kukemea. Anaogopa watarudisha majibu!
SO?
Kila mtu ni kiongozi.
Polisi anasimama popote anaua!
Kila mtu ni mwana siasa...atafanya anachofanya..atafanywa nini? Kwani wao wamefanywa nini?
Kila mtu anaita vyombo vya habari ...anabwabwajika ..iwe hovyo au with sense. Kila mtu ni kiongozi...Tena ajiona wa kutukuka!!
Kila mtu ni kiongozi na kila mtu anaweza kuchukua sheria na kuitumia anvyotaka.Hakuna kkiogozi mwanye ujasiri wa Ukweli na haki..
Mkuu wa wilaya....Mwalimu mkuuu...Balozi....Kibaka....All is just hopelesss!!
Kwanini Chenge asifanye alivyofanya? Haswa Chenge? why not?
Ujeuri unaonyeshwa na wengine umefanyiwa nini? Kwani yeye hana jeuri? Kwani jeuri ya Kagoda imefanywa nini? Kwani jeuri ya mitambo ya umeme etc imefanywa nini?
Kwani yeye hana jeuri? Just shoot!!!!
Nchi imekuwa ya kuchezewa na kila mtu sasa!!!
Ni mpaka Viongozi watakapo ondoa DHIHAKA na USWAHIBA na kufanya kazi tuliyowapa ...ndipo tanzania itarudi kwenye mstari...vinginevyo....?...Unaweza kubunia!!!