MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Tiba wee wambiwa alikwenda nyumbani kwake kwanza then akaja kureport asubuhi. Angeshiriki kuwapeleka pistali si angereport kabisa na police? I doubt.
Si kwamba namchukia Chenge no hapana naongea nionavyo mimi.
- Ahsante mkuu tunajaribu kuelimishana, binafsi ninamiliki leseni ya class A ya NYC US, kwa sheria za US ninaitwa Professional Driver, kwa hiyo mimi nikipatwa na ajali kisheria za US, ninakuwa responsible kwa 100%, regardless ya what dereva mwingine did kwa sababu ninatakiwa kujua better as a Professional Driver, ndio maana hata hiyo leseni ni kazi sana kuipata.
-that is why nina a glimpse na mambo ya uendeshaji na ajali, lakini sio kwamba ninajua kila kitu on the subject, lakini professionally nimewahi kuendesha nchi zima ya US na kupitia karibu kila mji wa kila State.
Ahsante.
William.
Labda alikuwa ametoka mlingotini.. na masharti akapewa... damu ya watu imwagike... ndipo nuksi imwondoke.. ili tumsahau kuhusu vitendo vyake vya kifisadi.Usikute alikuwa ameonja kidogo wakati wa ajali ndiyo maana akaona angoje mpaka asubuhi!
usiku wa saa tisa?
Ohooo!Usikute alikuwa ameonja kidogo wakati wa ajali ndiyo maana akaona angoje mpaka asubuhi!
mkulu,umesahau kwamba bongo kuna instant MOB JUSTICE
Ohooo!
Habari ninazozipata sasa zinadai wameenda na mkuu Andrea Chenge kwenye eneo la tukio, ndo wamerudi kituo cha polisi O'bay sasa hivi.
Kifupi, inasemekana Chenge alikuwa anaendesha gari ambalo Insurance (bima) yake ime-expire (imeisha muda wake) tangu 2007
...kwa sheria za US ninaitwa Professional Driver, kwa hiyo mimi nikipatwa na ajali kisheria za US, ninakuwa responsible kwa 100%, regardless ya what dereva mwingine did kwa sababu ninatakiwa kujua better as a Professional Driver
Ahsante.
Ohooo!
Habari ninazozipata sasa zinadai wameenda na mkuu Andrea Chenge kwenye eneo la tukio, ndo wamerudi kituo cha polisi O'bay sasa hivi.
Kifupi, inasemekana Chenge alikuwa anaendesha gari ambalo Insurance (bima) yake ime-expire (imeisha muda wake) tangu 2007
Unfortunately, ndugu wa marehemu wataulizwa watafaidika vipi kama Mheshimiwa akifungwa? Je, marehemu watarudi? Si heri wapokee pole kuliko kuachwa wakavu na kufuatilia kesi ambayo bila shaka Mkuu atapigwa faini ya shilingi 20,000! Wataulizwa hivi kweli wanaamini Mkuu ataenda kujisaidia kwenye ndoo? Kuona hivyo basi na wao watasema yote wanamuachia Mwenyezi na kupokea hizo pole. Na hakuna atakaewalaumu.
Amandla.........
mkulu,umesahau kwamba bongo kuna instant MOB JUSTICE
.... Kama muendesha mashitaka kasoma sheria na sio kubabi hii kesi ni easy kushinda.
... ni lazima yeye aprove beyond resonable dought kwamba alikuwa sober.
... Hii ingekuwa nchi za west District attorney angkuwa anashangilia, maana kubuild hii kesi ni simple.
Moja ameuwa bila kukusudia lakini akiwa amelewa Pili, ni hit and run ambayo nadhani ni crime kwa Tanzania. Combine hizi mbili then unaweza kumpeleka more than 20yrs jela