Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,750
Nilisema hapa ,gari aliyokuwa akiendasha Chenge haina usajili ila ina Bima,pia nikaongezea kuwa inawezekana kabisa kuwa kulikuwa na kufuzana ,labda mtu ata hoji Hilux kwa Bajaji ndio ,Chenge alikuwa akiifukuza kwa nia ya kuigonga na alifanikiwa kuigonga na kuiburuza mita zaidi ya selasini ,kwa ufupi alihakikisha amemaliza kazi na baadae kuelekea nyumbani kupumzika,kama ni mtu wa huruma angewajibika kuwasaidia ,Je Chenge aliondoka na gari gani kuelekea nyumbanikwe ? Hilo ni suali aidha kulikuwa na gari nyengine ikimfuata au aliingia mitaani na kukodi tax,kwa usiku wa manane huo sidhani kama itakuwa rahisi kupata tax ,Je Chenge alilikimbia eneo la ajali kwa kutumia chombo gani ? Je kama kulikuwa na gari iliyokuwa ikifuatilia inawezekana na dereva wa bajaji kwa kuwa alikuwa akitweta walimchukua na kumpeleka kusiko julikana ?
Je wote walikuwa wakitokea wapi ,alie hai ni Chenge (Dereva hatujui yupo wapi) inaonyesha gari zote zikitokea upande mmoja na kwa vile kuna tuhuma kuwa marehemu akijuana na Chenge inawezekana walikuwa pamoja na kama ni kudai unyumba ,Chenge alikataliwa hasira za Chenge zilimtuma awagonge liwalo na liwe ,Je marehemu wa pili wa kike walikuwa wote ni wamoja ,kama ni wamoja inaonyesha wazi walikuwa wakitokea sehemu moja ambayo Chenge aliweza kuwafuatilia ,inabidi upatikane ushahidi kutoka hoteli kama wanawake hao walionekana nyakati hizo za kujiliwaza na usiku wa bongo ,endapo walikuwepo kwenye hoteli hiyo basi ni wazi kabisa Chenge aliwagonga huku akijua analolifanya kwa maana ya kukusudia kuwagonga ,dereva ikiwa yupo hai basi ni muhimu katika kesi hii,ushahidi ambao kama mnaweza kuufuatilia ni kuwa hawa wadada walikuwepo kwenye sehemu ya Starehe ambayo Chenge alikuwepo ,uchunguzi zaidi unaendelea.