Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

Nilisema hapa ,gari aliyokuwa akiendasha Chenge haina usajili ila ina Bima,pia nikaongezea kuwa inawezekana kabisa kuwa kulikuwa na kufuzana ,labda mtu ata hoji Hilux kwa Bajaji ndio ,Chenge alikuwa akiifukuza kwa nia ya kuigonga na alifanikiwa kuigonga na kuiburuza mita zaidi ya selasini ,kwa ufupi alihakikisha amemaliza kazi na baadae kuelekea nyumbani kupumzika,kama ni mtu wa huruma angewajibika kuwasaidia ,Je Chenge aliondoka na gari gani kuelekea nyumbanikwe ? Hilo ni suali aidha kulikuwa na gari nyengine ikimfuata au aliingia mitaani na kukodi tax,kwa usiku wa manane huo sidhani kama itakuwa rahisi kupata tax ,Je Chenge alilikimbia eneo la ajali kwa kutumia chombo gani ? Je kama kulikuwa na gari iliyokuwa ikifuatilia inawezekana na dereva wa bajaji kwa kuwa alikuwa akitweta walimchukua na kumpeleka kusiko julikana ?
Je wote walikuwa wakitokea wapi ,alie hai ni Chenge (Dereva hatujui yupo wapi) inaonyesha gari zote zikitokea upande mmoja na kwa vile kuna tuhuma kuwa marehemu akijuana na Chenge inawezekana walikuwa pamoja na kama ni kudai unyumba ,Chenge alikataliwa hasira za Chenge zilimtuma awagonge liwalo na liwe ,Je marehemu wa pili wa kike walikuwa wote ni wamoja ,kama ni wamoja inaonyesha wazi walikuwa wakitokea sehemu moja ambayo Chenge aliweza kuwafuatilia ,inabidi upatikane ushahidi kutoka hoteli kama wanawake hao walionekana nyakati hizo za kujiliwaza na usiku wa bongo ,endapo walikuwepo kwenye hoteli hiyo basi ni wazi kabisa Chenge aliwagonga huku akijua analolifanya kwa maana ya kukusudia kuwagonga ,dereva ikiwa yupo hai basi ni muhimu katika kesi hii,ushahidi ambao kama mnaweza kuufuatilia ni kuwa hawa wadada walikuwepo kwenye sehemu ya Starehe ambayo Chenge alikuwepo ,uchunguzi zaidi unaendelea.
 
mmm...i think il agree with some people here that the middle sticker is the insurance tag ..and it expired in 07...that sticker has nothing to do with TRA...hence the words "commission of insurance tanzania" ...act of 1953 blah blah...
Kwenye Sticker ya insurance kuna
Veh No.
Make....Model...Color....
Commencement date (not consignment date)
Expiry date..06/06/2007
signature ya commissioner
then some numebr (policy i think
1537.jpg

Hebu tuonyeshe Model,make na vehicle number kwenye hiyo karatasi ya kati ,mbona mnakuwa wabishi hiyo ni risiti ya kuisajili gari na sio Bima ,ile ya juu ambayo inamalizika 22/o4/09 ndio bima ya gari ,karatasi zote tatu zipo kwenye gari yangu ila hiyo ya kati hata ya kwangu ni ya zamani sana,sikumbuki mara ya mwisho nilienda kuisajili lini maana imebadilika rangi kwa joto la bongo.
 
Mwiba ni kweli huelewi hiyo sticker ya insurance hapo katikati au u just being difficult? Mbona umenyambulishiwa kila kitu na picha iko wazi?
 
Hivi ni kweli kiongozi kama Chenge anaweza kuendesha gari bila ya kuwa na insuarance?. Tanzania inatisha kama mambo yenyewe ndiyo hayo. Pesa zote alizokuwa nazo ameshindwa kuwa na insuarance ya gari yake?. This is a joke ama dharau.

Mtu kama huyu anastahili adhabu kali sana ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye madaraka kama yeye.
 
...haya looking at the Insurance sticker, the one in the middle...(from top to bottom)
Vehicle No: TZ512 ACE or ALE
Make: Toyota Model: Hilux Color: Silver
Something...Royay etc
COmmencement date: 07/06/2006
Expiry date: 06/06/2007
 
Nilisema hapa ,gari aliyokuwa akiendasha Chenge haina usajili ila ina Bima,pia nikaongezea kuwa inawezekana kabisa kuwa kulikuwa na kufuzana ,labda mtu ata hoji Hilux kwa Bajaji ndio ,Chenge alikuwa akiifukuza kwa nia ya kuigonga na alifanikiwa kuigonga na kuiburuza mita zaidi ya selasini ,kwa ufupi alihakikisha amemaliza kazi na baadae kuelekea nyumbani kupumzika,kama ni mtu wa huruma angewajibika kuwasaidia ,Je Chenge aliondoka na gari gani kuelekea nyumbanikwe ? Hilo ni suali aidha kulikuwa na gari nyengine ikimfuata au aliingia mitaani na kukodi tax,kwa usiku wa manane huo sidhani kama itakuwa rahisi kupata tax ,Je Chenge alilikimbia eneo la ajali kwa kutumia chombo gani ? Je kama kulikuwa na gari iliyokuwa ikifuatilia inawezekana na dereva wa bajaji kwa kuwa alikuwa akitweta walimchukua na kumpeleka kusiko julikana ?
Je wote walikuwa wakitokea wapi ,alie hai ni Chenge (Dereva hatujui yupo wapi) inaonyesha gari zote zikitokea upande mmoja na kwa vile kuna tuhuma kuwa marehemu akijuana na Chenge inawezekana walikuwa pamoja na kama ni kudai unyumba ,Chenge alikataliwa hasira za Chenge zilimtuma awagonge liwalo na liwe ,Je marehemu wa pili wa kike walikuwa wote ni wamoja ,kama ni wamoja inaonyesha wazi walikuwa wakitokea sehemu moja ambayo Chenge aliweza kuwafuatilia ,inabidi upatikane ushahidi kutoka hoteli kama wanawake hao walionekana nyakati hizo za kujiliwaza na usiku wa bongo ,endapo walikuwepo kwenye hoteli hiyo basi ni wazi kabisa Chenge aliwagonga huku akijua analolifanya kwa maana ya kukusudia kuwagonga ,dereva ikiwa yupo hai basi ni muhimu katika kesi hii,ushahidi ambao kama mnaweza kuufuatilia ni kuwa hawa wadada walikuwepo kwenye sehemu ya Starehe ambayo Chenge alikuwepo ,uchunguzi zaidi unaendelea

Asee Mwiba hapa umenishika masikio ile mbaya dah, ujue mi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi ambayo mwisho wake nilikuwa napata jibu kuwa aah this is a trafic case so atahukumiwa kifungo cha miaka 6 jela au fine ya kiasi fulani lakini kwa hii post yako naona naanza kupata mwanga mpya juu ya hii issue... Thank u brother
 
besides it would be nice to hear from the driver, why is he missing, maybe he cut him off maana hizi bajaj tabu tupu
 
Nipe tofauti haraka maana naona tunababaishana ,mimi nasema gari iliyokuwa akiendesha ilikuwa na bima ambayo inamalizika tarehe 22/04/09 ,sasa nifahamishe road license ni kitu gani maana sijawahi kukisikia.Maana sijajua umezungumza kitu gani ?

Mwiba Road Licence unaenda kukata TRA na Bima hiyo inategemeana unataka kwa insurance broker yupi kwa hiyo kuna tofauti kubwa sana
 
1537.jpg

Hebu tuonyeshe Model,make na vehicle number kwenye hiyo karatasi ya kati ,mbona mnakuwa wabishi hiyo ni risiti ya kuisajili gari na sio Bima ,ile ya juu ambayo inamalizika 22/o4/09 ndio bima ya gari ,karatasi zote tatu zipo kwenye gari yangu ila hiyo ya kati hata ya kwangu ni ya zamani sana,sikumbuki mara ya mwisho nilienda kuisajili lini maana imebadilika rangi kwa joto la bongo.

mwiba hiyo ya kati ni insurance na ime expire
hii ndio order ya maneno labda unahitaji miwani
1.reg number t 5....
2.make :toyota 3.model: hilux 4.colour: silver
5.commence date......
6. exp date.....
 
mwiba hiyo ya kati ni insurance na ime expire
hii ndio order ya maneno labda unahitaji miwani
1.reg number t 5....
2.make :toyota 3.model: hilux 4.colour: silver
5.commence date......
6. exp date.....

Lakini naona hata hiyo road licence mbona ni kama inaishia 22/04/08? mwaka unaonekana kama si 09 bali 08.
Hapa tayri tumewashika vibaya hawa wakulu. Kumbe wanatutungia sheria wakijua ni ngumu na zitatufunga wakati wao hawatimizi hata moja?
Cha ahjabu jamaa ana vijisenti kibao yuropa lakini kulipa tusenti ameshindwa? Mafisadi na pesa bwana????
 
Licha ya kwamba wanasema alikuwa na totozz pembeni na kwamba ilikuwa yupo bwiiii bado jamaa anaweza kushinda kesi maana inaelekea hata dereva wa Bajaj hakuwa na leseni kwa mawazo yangu maana kukimbia kwake ndio kunampa jamaa ushindi.

My Take!

Chenge alipoona ana makosa, akamwambia Dereva wa Bajaj chukua hizi hela uondoke kupoteza ushahidi. Dereva haonekani, Masikini akina dada wamepoteza maisha. Kuna kesi hapo?

Dereva hatapatikana hata siku moja ili kesi iwe rahisi kwa Chenge; Polisi watafanya kila linalowezekana huyu dereva asipatikane.

I mighty be wrong though, ... just giving a benefit of doubt.

However, in Bongo everything is possible.

Njimba
 
Lakini naona hata hiyo road licence mbona ni kama inaishia 22/04/08? mwaka unaonekana kama si 09 bali 08.
Hapa tayri tumewashika vibaya hawa wakulu. Kumbe wanatutungia sheria wakijua ni ngumu na zitatufunga wakati wao hawatimizi hata moja?
Cha ahjabu jamaa ana vijisenti kibao yuropa lakini kulipa tusenti ameshindwa? Mafisadi na pesa bwana????

Mkuu unafikiri kwanini Taifa letu liko hapa lilipo? Viongozi hawaongozi kwa mifano...Mi nakwambia issue kama hii kwa mtu wa calibre yake ni kosa kubwa sana,yani mwanasheria mkuu aendeshe gari bila insurance kwanza ni ukosefu wa maadili,halafu yeye ni mwenyekiti wa tume ya maadili,sasa maadili ya kuanzia ufisadi wote,rada na sasa hii...Something is not right.
 
1537.jpg

Hebu tuonyeshe Model,make na vehicle number kwenye hiyo karatasi ya kati ,mbona mnakuwa wabishi hiyo ni risiti ya kuisajili gari na sio Bima ,ile ya juu ambayo inamalizika 22/o4/09 ndio bima ya gari ,karatasi zote tatu zipo kwenye gari yangu ila hiyo ya kati hata ya kwangu ni ya zamani sana,sikumbuki mara ya mwisho nilienda kuisajili lini maana imebadilika rangi kwa joto la bongo.

Mkuu heshima mbele mbona unataka kutuletea spin hapa
Sasa kama hiyo ni risiti ya kusajili gari hayo maandishi ya commision for insurance yametokea wapi
Humu tunaongea kwa maslai ya taifa 2 + 2 = 4 na sio vinginevyo
 
Mkuu hapa hatufuati majina kama angekuwa na hizo pesa si angekuwa na Valid Insurance
Kwa kifupi kulipia bima kumemshinda vinginevyo kama unataka kumtukana mimi simo
Najua utasema Mzembe au Mpumbavu waka sheria anazijua kinyume nyume
(Ikiwa insurance tuu tatizo jee kulipa libel compensation itakuwaje ? )

KWA HIYO UNATAKA KUSEMA CHENGE HAWEZI KUAFORD BIMA! Mtu mwenye million of dollars in the Bank? Nazani hauko serious! Hata hiyo Land Cruiser yenyewe akiiuza inakover kila kitu.
Hili la Insurance sio tatizo kwake, labda utokee ushahidi mwengine kuwa alikua kalewa/hana leseni/amesababisha ajale etc ndo kutakua na tatizo kwake.
 
Mkuu unafikiri kwanini Taifa letu liko hapa lilipo? Viongozi hawaongozi kwa mifano...Mi nakwambia issue kama hii kwa mtu wa calibre yake ni kosa kubwa sana,yani mwanasheria mkuu aendeshe gari bila insurance kwanza ni ukosefu wa maadili,halafu yeye ni mwenyekiti wa tume ya maadili,sasa maadili ya kuanzia ufisadi wote,rada na sasa hii...Something is not right.

HAPO umenena,huyu mtu angekuwa huku duniani,angekuwa kalas yaani ndio ungekuwa mwisho wake
 
Mkuu heshima mbele mbona unataka kutuletea spin hapa
Sasa kama hiyo ni risiti ya kusajili gari hayo maandishi ya commision for insurance yametokea wapi
Humu tunaongea kwa maslai ya taifa 2 + 2 = 4 na sio vinginevyo

Dah bado kuna watu hawajaamini kama gari ya Chenge ilikuwa na Bima hata tisa wamiigeuza na kuifanya nane ,yaani ni lazima watafute njia za kumbana,mnataka mlungula nini ?

Unajua maana ya kamisheni ,itabidi tuandikiane kilugha ili tufahamiane,kamisheni ushuru mdogo sana ,wengine wanaita ushuru wa forodha ,wengine airport Tax ,pale kariakoo pia wanapewa,ile kalatasi ya kati jamani sio ya Bima ni bima hakuna kamishen ,jamani ya magari haitolewi na serikali bali makampuni binafsi,sasa pale pana Zanzibar ,imehusu nini ,nawaambia kuwa ule ni ushuru wa usajili wa gari ,huyo mpiga picha inaonyesha ni limbukeni, amevamia karatasi yenye tarehe akiamini kuwa ni ushaidi kuwa gari haina Bima na wengine wakafuata kama bendera ,mbona polisi hawajasema kama gari ilikuwa haina bima wala magazeti hayajaandika hivyo,ila hapa mmekazania bado kutoa hukumu tu, halafu sheria za bongo ukigongwa unapewa kosa la kuwa mzembe na unaweza kuzabwa kibao ila polisi utashitakiwa kwa kosa la uzembe na dereva aliekugonga anakuwa hana kosa.
 
mwiba
ndio kuna neno zanzibar

pia kuna neno insurance = bima

je kuna neno kodi au Tax???????????
 
rafiki yangu mwiba na wewe mbunge nini? naona unaanza kumtetea mbunge eh mwanasheria eh waziri eh mzee wa vijisenti, hebu lete picha ya stika yako tuone unaweza kuwa na wewe ndio hao hao mpaka uletewe na ofisi ya bunge
 
kama hizi habari za Chenge kufahamiana na mmoja wa marehemu ni za kweli, na ajali ilitokea saa kumi alfajiri...plz somebody has to connect the dots..something fishy might be behind...(!!??)
 
1537.jpg

Hebu tuonyeshe Model,make na vehicle number kwenye hiyo karatasi ya kati ,mbona mnakuwa wabishi hiyo ni risiti ya kuisajili gari na sio Bima ,ile ya juu ambayo inamalizika 22/o4/09 ndio bima ya gari ,karatasi zote tatu zipo kwenye gari yangu ila hiyo ya kati hata ya kwangu ni ya zamani sana,sikumbuki mara ya mwisho nilienda kuisajili lini maana imebadilika rangi kwa joto la bongo.

Mbishi ni wewe, Mkuu Mwiba! Tangu lini usajili unakuwa na period? Unasajili gari tarehe fulani lakini si kuanzia tarehe fulani hadi tarehe fulani! Hata mimi nisie na gari naweza kutambua hilo. Na hivi tangu lini Commissioner wa Bima anasajili magari?

Ubishi usio na maana ndio unakuangusha katika mada zako zote.

Amandla...........
 
Back
Top Bottom