Cheo cha Brigadier Jeshini Kirudishwe

Wapo wengi kupita maelezo. Ndio maana vyeo vya kanali na Brigedia havina hadhi tena. Halafu eti nasikia vyeo huko wanapandishwa kutokana na mitihani wanayofanya na kwenda mafunzo ya kijeshi na hawapandishwi kutokana na utendaji mzuri au ufanisi.
Nadhani hii ndio inachangia kupandishwa vyeo wengi kupitiliza maana kama kigezo ni mafunzo na mitihani inamaana wakifaulu 500 watapandishwa. Na utaratibu huu ni hatari sana kwa usalama wa taifa sababu unatoa mwanya kwa wengine ambao sio wazalendo wakapanda hadi nafasi za juu kisa tu academic he/she is good. Jeshi kweli linatakiwa kuwa na wasomi lakini inatakiwa hierarchy ya usomi iwe tight sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…