Cheo cha Brigadier Jeshini Kirudishwe

Cheo cha Brigadier Jeshini Kirudishwe

Yaani umesema yoote ....anzia Major kwenda juu Yaani wengi mnoo mnoo ....nilienda jkt mlalakuwa sikuamini kuna major kama 30 hivi pale tu .....just a siku hizi Brogadier wanapandishwa 21 kwa mpigo.....Canal usiseme wako kibao nadhani jeshi limekua tofauti Enzi zile ......wasipoangalia wapiganaji watakuwa hakuna wote officers.....
Wapo wengi kupita maelezo. Ndio maana vyeo vya kanali na Brigedia havina hadhi tena. Halafu eti nasikia vyeo huko wanapandishwa kutokana na mitihani wanayofanya na kwenda mafunzo ya kijeshi na hawapandishwi kutokana na utendaji mzuri au ufanisi.
Nadhani hii ndio inachangia kupandishwa vyeo wengi kupitiliza maana kama kigezo ni mafunzo na mitihani inamaana wakifaulu 500 watapandishwa. Na utaratibu huu ni hatari sana kwa usalama wa taifa sababu unatoa mwanya kwa wengine ambao sio wazalendo wakapanda hadi nafasi za juu kisa tu academic he/she is good. Jeshi kweli linatakiwa kuwa na wasomi lakini inatakiwa hierarchy ya usomi iwe tight sana.
 
Back
Top Bottom