Wakati huu ambapo tupo kwenye kupanda kwa bei za mafuta na nishati nyinginezo anayetazamwa ni waziri wa nishati na Rais. Mbolea na pembejeo za kilimo zikipanda bei anayetazamwa ni Waziri wa Kilimo na Rais. Usumbufu wa panya road wanaotazamawa na kusemwa ni IGP, waziri wa ulinzi na Rais...