Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majukumu ya Makamu wa Rais yanaweza kufanywa kwa urahisi sana na ofisi ya waziri mkuu, hivyo basi itakuwa ni jambo la busara endapo cheo hiki kikafutiliwa mbali, na majukumu yake akapewa Waziri mkuu, maana hata hivyo hakuna kazi yeyote inayoonekana moja kwa moja ikifanywa na makamu wa Raisi, kikubwa ni kusibiri mtu atangulie ili ashike kiti cha urais, hakuna lingine.
Kuna tetesi nazisikia huko, eti kuna bilioni 18 zinatumika kumjengea ofisi Makamu wa Rais, nadhani hii habari ni ya upotoshaji, sitaamini hadi nione kwa macho yangu hiyo ofisi ikijengwa kwa pesa hizo; hii habari itakuwa ni ya uzushi, nchi hii hakuna taahira wa kupitisha bajeti ya bilioni 18 kujenga ofisi.
Taahira wa hivyo hajazaliwa bado, tusidanganyane hapa..; hostel za Magufuli zilijengwa kwa bilioni 10, na leo vijana wanajiachia tu pale, sasa ofisi ya bilioni 18? Ridiculous joke!

Ni mzigo, kiondoke haraka, hakina tija!!Cheo cha Makamu wa Rais ni kwa ajili ya kudumisha tu Muungano na si zaidi ya hapo.
Kwamba Rais akitoka Bara then Makamu lazima atoke Visiwani.
Kiutendaji cheo hicho hakitakiwi ila kwa ustawi wa Muungano, kinafaa.
Iwe kwa katiba mpya au kwa tamko, vyovyote vile, hiki cheo kiende, hatuna pesa za kuchezea kiasi hichoVipo vyeo vingi inatakiwa vifutwe ndio maana hawaitaki Katiba Mpya..
Kama ni lazima iwe hivyo, basi ama raisi wa SMZ ndo awe VP au kuwe na serikali 3 sasa, raisi wa JMT ambaye atakuwa anasubiri kudra za partners wa muungano.Cheo cha Makamu wa Rais ni kwa ajili ya kudumisha tu Muungano na si zaidi ya hapo.
Kwamba Rais akitoka Bara then Makamu lazima atoke Visiwani.
Kiutendaji cheo hicho hakitakiwi ila kwa ustawi wa Muungano, kinafaa.
Mmh, huko ni kuvuruga Muungano sasa, cheo kiondoke tu.Kama ni lazima iwe hivyo, basi ama raisi wa SMZ ndo awe VP au kuwe na serikali 3 sasa, raisi wa JMT ambaye atakuwa anasubiri kudra za partners wa muungano.
Au wawe direct tu kuwa raisi wa JMT ni lazima awe, kwanza ni raisi wa JMT na kwamba, ukiwa hata na kaharufu kwa uvisiwani, hupaswi hata kugombea ukiranja wa darasa huku bara KAMA ilivyo kule.
Vitambulisho vya ukaazi kila pande, marufuku za kutomiliki ardhi iwe ni kwa kila upande. Tukifikia hapo, muungano unajadilika na nafasi za uongozi kadhalika
Katiba inasemaje kuhusu majukumu ya Vice President? Usimuhukumu bila kuangalia majukumu yake kikakatibaHiki cheo cha vice president kifutwe tu hakina kazi. Tangu aingizwe madarakani hakuna lolote lile tumesikia kutoka kwake zaidi ya kwenda airport kumsubiri mama ampokee. Anakula kodi zetu bure tu. Aina hii ya viongozi ni mzigo na hasara kwa taifa, sijui kwanini wasomi wa bongo akili zao hazileti matokeo chanya kwa taifa.
Huyu ni mwanauchumi wa makaratasi tu lakini utendaji ni zero kabisa, yupoyupo kuinama na kukunja mikono kumsalimia aliyemteua. Hii Safu kwanzia Rais, Makamu wake na waziri mkuu hapa tumepigwa hawafai hata kuwa monitor wa darasa la tatu. Ni unproductive wapo kuzunguka tu kila siku wanawaza kukutana na mzungu hali za wananchi zinazidi kuwa ngumu. Wananchi tusipobadilika kukataa viongozi wachumia tumbo tutaburuzwa maisha yetu yote.
Mchungaji mtikila alikuwa very smart, akili yake uunganishe akili za viongozi wote wa ccm na wanachama wao bado wanapwayaSaa ya ukombozi ni sasa
Rest in peace Rev Mtikila
Wengi ndio tunaona maana haliasi ya kauli mbiu hii sasa
Mm sitegemei mbowe wala cdm ktk harakati za kuitafuta justice, ninaamini ktk maandamano tu, finishKama hawa wanaotegemewa kuwatetea wananchi wakishalamba asali na kunywa juisi ikulu wanakuwa laini hivi. Sasa we mwananchi wa kawaida utafanyaje? Inaonesha wazi kuwa sasa hivi kila mtu anapigania tumbo lake. Iwe kwa viongozi wa serikali au upinzani.