THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Kuna kauli imetoka kwa kigogo wa ccm akisema vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni CCM na JWTZ ikatajwa.
Yamepita masaa 24 hadi sasa hakuna tamko kutoka kwa jeshi la Wananchi JWTZ kukanusha hilo.
Au msemaji nae yupo na Mkuu wa Majeshi Nje ya Nchi?
Au hicho cheo cha usemaji hua ni kwa ajili ya kukana kua JWTZ haipo kwa ajili ya Wananchi kama vile alivyotokea kile kipindi cha Kuelekea October 29 maana hapo ndio tulijua kua Jeshi lina msemaji wake.