THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
nonsense πKuna kauli imetoka kwa kigogo wa ccm akisema vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni CCM na JWTZ ikatajwa.
Yamepita masaa 24 hadi sasa hakuna tamko kutoka kwa jeshi la Wananchi JWTZ kukanusha hilo.
Au msemaji nae yupo na Mkuu wa Majeshi Nje ya Nchi?
Au hicho cheo cha usemaji hua ni kwa ajili ya kukana kua JWTZ haipo kwa ajili ya Wananchi kama vile alivyotokea kile kipindi cha Kuelekea October 29 maana hapo ndio tulijua kua Jeshi lina msemaji wake.
Ukitafakari Kwa kina unaona kabisa siku ikipatikana Tanganyika inabidi VYOMBO vya usalama vyote vifumuliwe na kutengezwa vyengineKuna kauli imetoka kwa kigogo wa ccm akisema vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni CCM na JWTZ ikatajwa.
Yamepita masaa 24 hadi sasa hakuna tamko kutoka kwa jeshi la Wananchi JWTZ kukanusha hilo.
Au msemaji nae yupo na Mkuu wa Majeshi Nje ya Nchi?
Au hicho cheo cha usemaji hua ni kwa ajili ya kukana kua JWTZ haipo kwa ajili ya Wananchi kama vile alivyotokea kile kipindi cha Kuelekea October 29 maana hapo ndio tulijua kua Jeshi lina msemaji wake.
Ukitafakari Kwa kina unaona kabisa siku ikipatikana Tanganyika inabidi VYOMBO vya usalama vyote vifumuliwe na kutengezwa vyengine
Ndy maana yake tofauti na hvy itakuwa tunafuga wauni.Itabid top yote iwe scraped tuanze upya
Chacha amesema ukweli sasa unataka JWTZ wakanushe nini hapo? Kwani ni uongo kuwa JWTZ hawakushirikiana na Polisi kuua maelfu ya Watanganyika 29.10.2025 ili CCM iendelee kutawalaKuna kauli imetoka kwa kigogo wa ccm akisema vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni CCM na JWTZ ikatajwa.
Yamepita masaa 24 hadi sasa hakuna tamko kutoka kwa jeshi la Wananchi JWTZ kukanusha hilo.
Au msemaji nae yupo na Mkuu wa Majeshi Nje ya Nchi?
Au hicho cheo cha usemaji hua ni kwa ajili ya kukana kua JWTZ haipo kwa ajili ya Wananchi kama vile alivyotokea kile kipindi cha Kuelekea October 29 maana hapo ndio tulijua kua Jeshi lina msemaji wake.
π€ Inafikirisha sana.Chacha amesema ukweli sasa unataka JWTZ wakanushe nini hapo? Kwani ni uongo kuwa JWTZ hawakushirikiana na Polisi kuua maelfu ya Watanganyika 29.10.2025 ili CCM iendelee kutawala
Nyie ni mali ya ccm au wananchi?Msemaji wa JW nipo. Unahitaji kufahamu kitu gani?
Sisi ni mali ya mwenyekiti wa CCM.Nyie ni mali ya ccm au wananchi?
So ccm apparatus.Sisi ni mali ya mwenyekiti wa CCM.
DefinitelySo ccm apparatus.
Kuna kauli imetoka kwa kigogo wa ccm akisema vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni CCM na JWTZ ikatajwa.
Yamepita masaa 24 hadi sasa hakuna tamko kutoka kwa jeshi la Wananchi JWTZ kukanusha hilo.
Au msemaji nae yupo na Mkuu wa Majeshi Nje ya Nchi?
Au hicho cheo cha usemaji hua ni kwa ajili ya kukana kua JWTZ haipo kwa ajili ya Wananchi kama vile alivyotokea kile kipind
Kanali Ngemela Lubinga, alikuwa Msemaji wa Jeshi.Kuna kauli imetoka kwa kigogo wa ccm akisema vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni CCM na JWTZ ikatajwa.
Yamepita masaa 24 hadi sasa hakuna tamko kutoka kwa jeshi la Wananchi JWTZ kukanusha hilo.
Au msemaji nae yupo na Mkuu wa Majeshi Nje ya Nchi?
Au hicho cheo cha usemaji hua ni kwa ajili ya kukana kua JWTZ haipo kwa ajili ya Wananchi kama vile alivyotokea kile kipindi cha Kuelekea October 29 maana hapo ndio tulijua kua Jeshi lina msemaji wake.
nonsense is your mother's assnonsense π