Wanajukwaa hiki cheo ni kizuri sana, kikubwa sana au kitamu sana hapa nchini kwetu?
Unajiuliza kinachotokea jijini Arusha mnyukano wa mkuu wa mkoa na Mbunge wa sasa unahusishwa na mbio za Ubunge.
Yaani mtu hataki kuongoza mkoa anataka majimbo ndani ya mkoa tu.Vile vile Mzee Masatu Wasira ametamka wazi anataka kugombea jimbo la Bunda mjini.
Ikumbukwe Mzee Wasira ni makamo Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM- kwa maana nyingine Wabunge wote wako chini kimamraka ndani ya Chama Lkn leo naye anataka Ubunge, Je kwenye Ubunge kuna nini?