Naona kabisa ndugu iweje mtu hataki umkuu wa mkoa anataka Ubunge?Kuna mahali hawa wabunge wanatuficha kuhusu ubunge.
Maana kila mtu anaulilia.
Au wengine hawataki ukurugenzi wa taasisi za umma mpaka unajiuliza nini kipo nyuma yake.Naona kabisa ndugu iweje mtu hataki umkuu wa mkoa anataka Ubunge?
Kwa hiyo wabunge wasiwe wanatudanganya eti hakuna MasrahiUbunge ni uhakika miaka mitano.
Mshahara zaidi ya 10m, posho, bahasha ukiwa kwenye kamati, pensheni ya maana ukimaliza miaka mitano na hakuna kazi kubwa zaidi ya kuhudhuria vikao na kugonga meza zaidi.
posho za ubunge nyingi zaidi. Pia kupitia ubunge mtu anaeeza kujijenga zaidi kisiasa.Mwisho mbunge kazi yake kuongea tu bungeni, na kusikiliza wenzie wakiongeaNaona kabisa ndugu iweje mtu hataki umkuu wa mkoa anataka Ubunge?
Ancestor anataka kugombea ubunge?tu.Vile vile Mzee Masatu Wasira ametamka wazi anataka kugombea jimbo la Bunda mjini.