Rais atafanya kazi gani!Waziri Mkuu anatakiwa apewe mamlaka kamili ya kuunda na kuongoza serikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais atafanya kazi gani!Waziri Mkuu anatakiwa apewe mamlaka kamili ya kuunda na kuongoza serikali
Serikali za majimbo.Kwani Tume ya Warioba ilipendekeza nini?
IsomeHivi katiba ya Warioba ilipendekeza majimbo?
Huyo anabaki kuwa head of state na amiri jeshi mkuu........kama rais atajishughulisha na utendaji wa kila siku wa serikali maana yake ni kwamba cheo cha waziri mkuu hakiko relevant, umenielewa?Rais atafanya kazi gani!
Rasimu ya tume ya Warioba ilipendekeza muundo wa serikali tatu. Serikali ya muungano, na serikali mbili za majimbo ya Tanganyika na Zanzibar.Nimeisoma na haina hayo unayosema, siku nyingine usiongee mambo usiyoelewa.
Makamu wa Rais anapwaya!Habari wandugu. Ukifuatilia nchi nyingi utaona kuwa zina mmoja, Waziri Mkuu au Makamu wa Rais na si wote.
Na nchi nyingi zenye mawaziri wakuu ni zile za kifalme, wakati Jamhuri nyingi zina Makamu wa Rais. Na zingine zikiongozwa na waziri mkuu pekee, Rais akiwa ni ceremonial tu.
Na hata ukiangalia kiutendaji utaona kuwa makamu wa Rais huwa yupoyupo tu, haeleweki anafanya nini.
Ni wakati sasa tufute cheo kimoja, cha wazicha Waziri Mkuu au Makamu wa Rais.
Habari wandugu. Ukifuatilia nchi nyingi utaona kuwa zina mmoja, Waziri Mkuu au Makamu wa Rais na si wote.