Cheo kimoja kati ya Waziri Mkuu au Makamu wa Rais kifutwe

Sijui hata kwanini tulivyotoka kwenye makamu wa rais wawili (mmojawapo anakua pia waziri mkuu) enzi za kina malechela tukamtenganisha Rais wa zanzibar na kutenganisha makamu wa rais na uwaziri mkuu??

Cc Pohamba JokaKuu
Ni moja ya upuuzi tuliobambikiziwa na Nyerere.
 
Rais atafanya kazi gani!
Huyo anabaki kuwa head of state na amiri jeshi mkuu........kama rais atajishughulisha na utendaji wa kila siku wa serikali maana yake ni kwamba cheo cha waziri mkuu hakiko relevant, umenielewa?
 
Nimeisoma na haina hayo unayosema, siku nyingine usiongee mambo usiyoelewa.
Rasimu ya tume ya Warioba ilipendekeza muundo wa serikali tatu. Serikali ya muungano, na serikali mbili za majimbo ya Tanganyika na Zanzibar.

Ni wapi pamekuwa pagumu kwako kuelewa!
 
Makamu wa Rais anapwaya!
 
Katiba mpya ni muhimu kuliko kitu chochote kwa sasa.

Tunatawaliwa na mtu asiyeijua bara kabisa kisa katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…