- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,072
- 10,514
Comments za wanawake kwenye huu uzi zinasema kinyume na unachosema wewe!Oa tu siyo wote! Tena wanawake ndiyo kabisa hawachepuki,ukiona anachepuka ujue ndani kwake kuna shida mahali.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comments za wanawake kwenye huu uzi zinasema kinyume na unachosema wewe!Oa tu siyo wote! Tena wanawake ndiyo kabisa hawachepuki,ukiona anachepuka ujue ndani kwake kuna shida mahali.....
Tukichepuka na waume za watu, wanawake hatupendaniKwanini huwa mnachepuka na wake za wanaume wenzenu? Nyie si ndio huwa mnasema wanaume mnapendana jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Hahaha umri tena kadadaa!?Una UMRI gani?
Comments za wanawake kwenye huu uzi zinasema kinyume na unachosema wewe!
Yaani kuchepuka unadhani kunasubiri shida?! Watu wanaolewa huku tayari wana michepuko... Sasa naona wewe unawaweka wanawake katika kundi la malaika..Hahaha umri tena kadadaa!?
Hornet ameshakujibu......Comments za wanawake kwenye huu uzi zinasema kinyume na unachosema wewe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukichepuka na waume za watu, wanawake hatupendani
Wakichepuka na wake za watu, wanapendana
Mapmb yao....
Kuumiza me? Ili iwe nini labda....H
Hornet ameshakujibu......
Wengine wanachangamsha genge na kuumiza Me zaidi.... lakini ukweli ndo huo....
Oooh im sorry Madam....🙏Kuumiza me? Ili iwe nini labda....
Hii ni serious meseji kutoka kwa watu serious
Yaani kuchepuka unadhani kunasubiri shida?! Watu wanaolewa huku tayari wana michepuko... Sasa naona wewe unawaweka wanawake katika kundi la malaika..
No need to be sorry dear,.....Oooh im sorry Madam....🙏
Ubaya hubadilishwa na wema!Unahisi tumeanza out of nowhere?
Sawa, waoaji waoe. Acha wengine tuishie kua watazamaji.H
Hornet ameshakujibu......
Wengine wanachangamsha genge na kuumiza Me zaidi.... lakini ukweli ndo huo....
Oa tu siyo wote! Tena wanawake ndiyo kabisa hawachepuki,ukiona anachepuka ujue ndani kwake kuna shida mahali.....
Kuumiza me? Ili iwe nini labda....
Hii ni serious meseji kutoka kwa watu serious
Mwanamke akisha chepuka tambua huyo siyo mkeo tena,Huu ndo ukweli mchungu.