Chepuka kwa akili...

Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
Hii ni kweli kabisa, mpenzi wangu alikua anasoma mzumbe mimi npo dar sasa kumbe kule akachepuka na nilishtukia kias fulani kipind natafakari kuchukua hatu kumbe yule mchepuko nae hakujua kama yeye ni mchepuko so nayeye akahisi anasalitiwa sasa siku yupo nae akachukua namba yangu kwenye simu yake kwa kuiba baada ya mda yule mchepuko akantafuta, mshkaji dizain kama tulikua tunafanana tabia hivi basi tukayamaliza then tukawa marafiki kabisa na tukampiga chini demu na jamaa akaja dar kunitembelea ( hii kwa ugomvi na uadui hutokea kwa mchepuko anaetembea na mke wa mtu ila kwenye level za uchumba wanaume hatunaga uadui kabisa)
 
Mlimpiga chini sio kwamba mlikuwa mnaendelea nae huku mko marafiki. That's different
 
Hapana maana yule msichana alimchukulia mshkaji kama mchepuko so akamkataa katakata na kutaka kuja upande wangu bahati mbaya mimi suala la usaliti huwa sinaga msamaha kabisa kama nikithibisha na huwa namwambia kabisa mwanamke tukianza uhusiano.
Mlimpiga chini sio kwamba mlikuwa mnaendelea nae huku mko marafiki. That's different
 
Maendeleo hayana chama endeleeni kumuombea.
 
aiseeee.....huwa napenda sana kusikiliza wanawake.....hii nimeipenda...asante (lady hyena)
 
Like ulizopata ni tishio kwa usalama wa ndoa za wengi. Fisi jike washauri hao wadogo zako watulie kwenye ndoa zao.
Siku ya kwanza ulitumia kondom. Zinazofuata unajizira kisa aota na vains and capilaries are full of mchepuko.
Tutaangamiza watoto wetu.
Please, acha kuchepuka.
 
Hahaha tuwe tu makini kwakweli
 
Ndoani kuna raha za kukata na shoka, hivi vingine ni vijambo vidogo vidogo sana
Vinagongana vikombe itakua sie waja?!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo madogo tu haya yanamtisha ya nini? Kwani wanaondoka nazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…