Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

Bora kuvurugwa nyumbani sio na mchepuko jamani, mchepuko akikuvuruga unahisi umevurugwa na dunia nzima mi ndo maana huwa nawasisitiza micheps msizingue mtatuua sweethearts teh



ahahhqhahhq sikuiona hii.hahhqhqa....!ngj nikae kimyq hahaa unaweza pata Asazi hivi hviii
 
Mwanamke kama maji babuu usipokunywa utachambia, usinisahau kadi ya harusi kama hujampata bi harusi sema nikupe mtoto mmoja wife material ako na bikra hadi sekunde hii naandika hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengine tunaviswahili vya lugha zetu lisikusumbue sana.

Kwa udhaifu wenu mnajisahau matokeo mnatemwa kundi la wadangaji linaongezeka wanao tarajia kuoa wanashudia kaka alivyo acha juzi anaghaili kwa maana nyapu zinaelea tu zikidanga nyingine ndo hizo faraja kumbe inapatikana kwa kugongwa nje ya ndoa aoe ili agundue nini?
Hatutemwi, tuko makini sana tunachepuka kwa heshima.

Ndoa kila siku zinafungwa, we unaeogopa endelea kuogopa.
 
Hafu siku kataka gauni pesa haitoshi umpeleke kwa baba kale akapewe eti?

Tuta wagonga tu nakuambia hata nafasi ya kufua nguo hampewi nyie ni miti tu hafu mapema sana asubuhi kwenu au kwako nani aoe wadangaji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usopate taabu, tunachepuka kwa heshima kwahiyo punguza jazba kijana.
 
Mjadala mzuri kweli huu manengelo kwanini hukuniita!!

Sasa ni hivi ni kweli tukichepuka hisia na mapenzi yote tunahamisha lakini tunachepuka kwasababu!!!

Ukiona wife anachepuka jua wewe mume ndiye sababu ya mkeo kuchepuka tofauti na nyie mnaochepuka ovyo km mbwa wa majalalani ndo maana upendo kwa wake zenu hubaki palepale

Mnatufananisha na mabibi zenu na mama zenu!!! Hahahahaha nicheke kihutu mie tofauti ya wao na sie ni mawigi na technology ya kimtandao tu lakini walizaa sana nje pengine kuliko sie

Kwa sasa wastani ya idadi ya watoto ni 4 ukipigwa sana ni watoto 2 au 1 ndo sio wako mwanaume lkn zamani wastani ilikuwa watoto 9 wa ndani 3, na wanaosalia wana baba zao wengine

Kuweni wavumilivu kama babu na baba zenu acheni kelele mkianzisha sie tunamalizia ukijitia mgumu katani zinauzwa bei chee
Wanajifanya wana wivu sana wakati babu zao walikuwa na adabu, akirudi anaimba kwa sautiii ili aliepo aondoke kabla hajafika.

Jando inapaswa irudi kwa hakika.
 
Ulichokiongea ni sahihi kabisa naunga mkono hoja yako kwa kutoa Ushahidi huu
Mimi nlikua na mchepuko wangu ambae ni mwanzo hakua ameolewa lakin badae alikuja kuolewa na aliniomba ruksa ya kuolewa mi nikamkubalia, tuliendelea na mapenz yetu lakin kadri muda ulivozid kwenda mapenzi yang na uyu mchepuko(mke wa mtu kwa sasa) yalizidi kunoga
Ikafika pahala akanambia anafurai zaid kua na mim kuliko kua na mme wake, akaniomba ikiwezekana afanye mpango aachane na mme wake arudi kwangu nimuoe awe mke wa pili(anajua kua nmeoa na yupo tayari kuacha ndoa yake aje kwangu awe mke wa pili)

Ushuhuda huu unadhihiridha wazi kua wanawake wakipenda wanapenda kweli na mke wako akiwa na mchepuko tu basi hesabu maumivu kwa maana anaweza kuzama mazima

Kuhitimisha tu; kabla sijamjibu kua nitamuoa au lah(dini hairuhusu kuoa wake wawili) tayari ameshalikoroga kwa mme wake na amenambia kua anaachika kwa mme wake kwa ajili yangu plz nisimuumize akajutia maamuzi yake
Najalibu kuwaza kama mimi ndo ningekua mme wake...... Any way yanaumiza sana
 
Mimi hapo ndio napochoka. Mtu ndoa imemshinda na kuugulia maumivu ya karibia kufa ila ndio wa kwanza kusisistiza ndugu zake waoe au waolewe. Sasa ndoa ya nini kama hujamaliza uzinzi wako, Ngoja niwekeze katika dollars maana haiwezi kunikataa wala kunisaliti
Mkuu umenena
Before sina kazi ya kueleweka mapenzi yalinisumbua sana
Sio leo
Yan hata dem afanye ujinga wake sina hata chembe
Daily nawaza jinsi gani account yangu ijae mapene wazazi wangu wananibariki nikiwasaidia pesa basi imekwisha
 
Kama mwanamke atachepuka seriuos na mchepuko wake yaan akampenda kwa dhat basi wew mwanaume siku zako za kuishi hapa duniani haziwez kuzid mwaka mmoja kama utaendelea kuishi nae nyumba moja.

Kwa muda anamuona mchepuko ni kila kitu na anaeleta kikwazo ni wew mume.

Ni kweli, Ila wanaume kuwa na michepuko huwa ni tamaa tu ya muda, wanawapenda wake zao ndo maana wanaume huwa wanawaambia michepuko " mke wangu akijua tu mi na wewe tunaachana"
 
Haha haaa rijali hachungwi tena nafasi hiyo hutoipata utasubili kujibu kesi tu
Ajitambue akifika balehe!!!!
Unaongelea wa nchi gani? Tunawachunga hadi muoe, lasivyo hamuaminiki.
Bola uwe mlalamikiwa kuliko uwe mlalamikaji.nakushangaeni sana mnapokataa uasilia.

Sijasikia mvulana kufukuzwa kwao eti kampa binti mimba.
Ni mabinti wengi tu hufukuzwa makwao kwa kupewa mimba.
Ni udhalili kugongwa kabla ya ndoa ni udhalili kugongwa nje ya ndoa na ndoomana wake za watu ndo wanaongoza kuliwa tako
 
Haha haaa rijali hachungwi tena nafasi hiyo hutoipata utasubili kujibu kesi tuBola uwe mlalamikiwa kuliko uwe mlalamikaji.nakushangaeni sana mnapokataa uasilia.

Sijasikia mvulana kufukuzwa kwao eti kampa binti mimba.
Ni mabinti wengi tu hufukuzwa makwao kwa kupewa mimba.
Ni udhalili kugongwa kabla ya ndoa ni udhalili kugongwa nje ya ndoa na ndoomana wake za watu ndo wanaongoza kuliwa tako
Umekula tako za wangapi?

Usijali tunachepuka kwa akili na kwa heshima. Msipate taabu kabisaaaaaa. Tukinogewa sio kosa letu muwalaumu michepuko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usopate taabu, tunachepuka kwa heshima kwahiyo punguza jazba kijana.
Wanaochepuka kwa heshima hajulikani hata ila nyiee mnao jisifu lazima mlete zarau nyumbani hapo talaka itakuhusu
 
Ndoani kuna raha za kukata na shoka, hivi vingine ni vijambo vidogo vidogo sana
Vinagongana vikombe itakua sie waja?!!!
Kuna ule msemo unasema bora ukosee kujenga utabomoa nyumba kuliko ukosee kuoa au kuolewa, unaweza kuuelezeaje huu msemo? na kukosea kuoa au kuolewa mtu unakosea vipi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnataka raha mpate nyie tu!! Aiii wewe hebu acha roho mbaya. Acha raha tupate wote jamani.
Sasa kama mtu hakupi raha si unamchana akuache ukapate raha?
Ukiwa mtaka vyote utakua malaya tu si vinginevyo
 
Back
Top Bottom