Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

...mda mwingine huwa nawaza juu ya wanawakee ila sipati jibu,mana juzi nimepita kwa mangi nikaona tangazo la sigara flani afu kwenye hlo tangazo kuna picha ya mdada mrembo ametabasamu nami ikabidi nitabasamu uku nikiwza na kuwazua but ckupata jibu..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah. mambo ya mahusiano mauzauza tuu.
 
Labda huko Uyole, huku mbinga mashariki senior bachelors wanakula maisha bila shida!

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Lazima wale maisha.
Si unakumbuka ule msemo wa Jakaya eeeh?
 
Back
Top Bottom