Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,115
- 2,231
Uko sahihi mkuu mimi niko katka mahusiano ya ndo ni mwka wa 13 nawajua sana hawa wanawake hao wanawake akiwasema mleta mada siku izi hawapo now days wnawake wanachepuka kwa ajili ya kupata pesa za kukidhi mahitaji yao na family tu na sio mapenzi wala kufull in love kama anao sema kama huamini kwanini mwnamke alieolewa ana mahawara zaido ya mmoja kama ni kwa mapenzi kweli si angekua na mmoja tu kwann wengi??Evelyn Salt Hayo ya wanawake kuchepuka kwa hisia ni dhana tu au ni wachache ambao wanasababu za kuwachoka waume zao au kuchoka ndoa zao.
Wake za watu wana michepuko zaidi ya mmoja na wanai handle bila shida. Mke wa mtu haendi wala hataki kulala kwa mchepuko labda apate safari ya mkoa /wilaya nyingine ndo Wanaweza panga na mchepuko mmojawapo wakaspend usiku mzima.
Wanawake wangekuwa kweli wanachepuka kwa hisia ndoa nyingi zingevunjika. Wanaume wavumilie tu kulea watoto wa wenzao hiiiiii [emoji23] msinikasirikie ni utafiti huo.
Now mnalazimishwa kuchepuka kwa sababu ya hali ngumu ya maisha tu mfano mpate smartphone, nguo mtokelezee kama mashoga zenu, ada za watoto kwenye shule mlizowapeleka mnaziita shule za inter, magari, kodi za nyumba nk.