Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

Evelyn Salt Hayo ya wanawake kuchepuka kwa hisia ni dhana tu au ni wachache ambao wanasababu za kuwachoka waume zao au kuchoka ndoa zao.

Wake za watu wana michepuko zaidi ya mmoja na wanai handle bila shida. Mke wa mtu haendi wala hataki kulala kwa mchepuko labda apate safari ya mkoa /wilaya nyingine ndo Wanaweza panga na mchepuko mmojawapo wakaspend usiku mzima.

Wanawake wangekuwa kweli wanachepuka kwa hisia ndoa nyingi zingevunjika. Wanaume wavumilie tu kulea watoto wa wenzao hiiiiii [emoji23] msinikasirikie ni utafiti huo.
Uko sahihi mkuu mimi niko katka mahusiano ya ndo ni mwka wa 13 nawajua sana hawa wanawake hao wanawake akiwasema mleta mada siku izi hawapo now days wnawake wanachepuka kwa ajili ya kupata pesa za kukidhi mahitaji yao na family tu na sio mapenzi wala kufull in love kama anao sema kama huamini kwanini mwnamke alieolewa ana mahawara zaido ya mmoja kama ni kwa mapenzi kweli si angekua na mmoja tu kwann wengi??

Now mnalazimishwa kuchepuka kwa sababu ya hali ngumu ya maisha tu mfano mpate smartphone, nguo mtokelezee kama mashoga zenu, ada za watoto kwenye shule mlizowapeleka mnaziita shule za inter, magari, kodi za nyumba nk.
 
Kuna ule msemo unasema bora ukosee kujenga utabomoa nyumba kuliko ukosee kuoa au kuolewa, unaweza kuuelezeaje huu msemo? na kukosea kuoa au kuolewa mtu unakosea vipi?
Hapo kukosea au kupatia hakuna jibu la moja kwa moja, inategemea nawe kwenye maisha yako unahitaji mwenza wa dizaini gani...
Unaweza kumuoa slay kwini muda wote Kakaa kwenye tamthilia, kabandika kucha, hapiki mnakula hotel wewe ukaona hakuna shida umepatia, sisi wapenzi watazamaji tukakuona umeingia chaka. So it depends
 
Ulichokiongea ni sahihi kabisa naunga mkono hoja yako kwa kutoa Ushahidi huu
Mimi nlikua na mchepuko wangu ambae ni mwanzo hakua ameolewa lakin badae alikuja kuolewa na aliniomba ruksa ya kuolewa mi nikamkubalia, tuliendelea na mapenz yetu lakin kadri muda ulivozid kwenda mapenzi yang na uyu mchepuko(mke wa mtu kwa sasa) yalizidi kunoga
Ikafika pahala akanambia anafurai zaid kua na mim kuliko kua na mme wake, akaniomba ikiwezekana afanye mpango aachane na mme wake arudi kwangu nimuoe awe mke wa pili(anajua kua nmeoa na yupo tayari kuacha ndoa yake aje kwangu awe mke wa pili)

Ushuhuda huu unadhihiridha wazi kua wanawake wakipenda wanapenda kweli na mke wako akiwa na mchepuko tu basi hesabu maumivu kwa maana anaweza kuzama mazima

Kuhitimisha tu; kabla sijamjibu kua nitamuoa au lah(dini hairuhusu kuoa wake wawili) tayari ameshalikoroga kwa mme wake na amenambia kua anaachika kwa mme wake kwa ajili yangu plz nisimuumize akajutia maamuzi yake
Huyo ni boya aisee mara nyingi huwa wanadanganya si unajua mapenzi bila kudanganyana hayaendi sikila maneno unayoambiwa ninya kweli mengi ni kutaka kukufanya ujione we niwa mhimu kwake wa dhamani ila kiuhalisia huwa ni uongo ila huyo wako mi mjinga sana kapenda mpka kapiliza ila ww humpendi maana kama kweli ingekua unampenda usingeruhusu aolewe na mwanaume mwingine ila yy hilo halioni
 
Sijui kama ni mimi tu au na wengine ila naona utofauti hata katika namna unavyochangia mada ulivyokuwa katika id ile na ukiwa katika id hii yaani utafikiri ni watu wawili tofauti kumbe ni mtu mmoja ila siyo siri upo kwenye list yangu ya watu ninaowakubali humu jf yaani ni mmoja kati ya watu ambao post zenu nyingi huwa zinanifurahisha
Nimeirudia hii kwa sasa[emoji1787]
 
We acha kumjaza upepo mtoto wa mwanamke. Mwenzio[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23]
Mwanamke kama maji babuu usipokunywa utachambia, usinisahau kadi ya harusi kama hujampata bi harusi sema nikupe mtoto mmoja wife material ako na bikra hadi sekunde hii naandika hapa
 
Ulichokiongea ni sahihi kabisa naunga mkono hoja yako kwa kutoa Ushahidi huu
Mimi nlikua na mchepuko wangu ambae ni mwanzo hakua ameolewa lakin badae alikuja kuolewa na aliniomba ruksa ya kuolewa mi nikamkubalia, tuliendelea na mapenz yetu lakin kadri muda ulivozid kwenda mapenzi yang na uyu mchepuko(mke wa mtu kwa sasa) yalizidi kunoga
Ikafika pahala akanambia anafurai zaid kua na mim kuliko kua na mme wake, akaniomba ikiwezekana afanye mpango aachane na mme wake arudi kwangu nimuoe awe mke wa pili(anajua kua nmeoa na yupo tayari kuacha ndoa yake aje kwangu awe mke wa pili)

Ushuhuda huu unadhihiridha wazi kua wanawake wakipenda wanapenda kweli na mke wako akiwa na mchepuko tu basi hesabu maumivu kwa maana anaweza kuzama mazima

Kuhitimisha tu; kabla sijamjibu kua nitamuoa au lah(dini hairuhusu kuoa wake wawili) tayari ameshalikoroga kwa mme wake na amenambia kua anaachika kwa mme wake kwa ajili yangu plz nisimuumize akajutia maamuzi yake
Kuna mmama namfahamu waliahidiana kipindi wasoma wataoana lakini wakapoteana wakati wanakutana kila mtu anamwenza huwa kaoa huyu kaolewa kila mmoja alifanya figisu kwenye ndoa yake ikavunjika na wao wakaoana wanaishi mpaka leo na ni muda mrefu, lakini sio vizuri kuwaumiza wengine, siku nawe ukisikia mkeo wanamtindua utajisikia vipi?
 
Back
Top Bottom