Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

Evelyn Salt Hayo ya wanawake kuchepuka kwa hisia ni dhana tu au ni wachache ambao wanasababu za kuwachoka waume zao au kuchoka ndoa zao.

Wake za watu wana michepuko zaidi ya mmoja na wanai handle bila shida. Mke wa mtu haendi wala hataki kulala kwa mchepuko labda apate safari ya mkoa /wilaya nyingine ndo Wanaweza panga na mchepuko mmojawapo wakaspend usiku mzima.

Wanawake wangekuwa kweli wanachepuka kwa hisia ndoa nyingi zingevunjika. Wanaume wavumilie tu kulea watoto wa wenzao hiiiiii [emoji23] msinikasirikie ni utafiti huo.
Kwa mtizamo wangu kama wanachepuka basi kwa msukumo sio ivi ivi, kuna kitu kimepelekea kuchepuka otherwise ni hulka yake.
 
Ulichokiongea ni sahihi kabisa naunga mkono hoja yako kwa kutoa Ushahidi huu
Mimi nlikua na mchepuko wangu ambae ni mwanzo hakua ameolewa lakin badae alikuja kuolewa na aliniomba ruksa ya kuolewa mi nikamkubalia, tuliendelea na mapenz yetu lakin kadri muda ulivozid kwenda mapenzi yang na uyu mchepuko(mke wa mtu kwa sasa) yalizidi kunoga
Ikafika pahala akanambia anafurai zaid kua na mim kuliko kua na mme wake, akaniomba ikiwezekana afanye mpango aachane na mme wake arudi kwangu nimuoe awe mke wa pili(anajua kua nmeoa na yupo tayari kuacha ndoa yake aje kwangu awe mke wa pili)

Ushuhuda huu unadhihiridha wazi kua wanawake wakipenda wanapenda kweli na mke wako akiwa na mchepuko tu basi hesabu maumivu kwa maana anaweza kuzama mazima

Kuhitimisha tu; kabla sijamjibu kua nitamuoa au lah(dini hairuhusu kuoa wake wawili) tayari ameshalikoroga kwa mme wake na amenambia kua anaachika kwa mme wake kwa ajili yangu plz nisimuumize akajutia maamuzi yake
Duh huoni kama umechangia kiasi flani hiyo ndoa kuvunjika?
 
Hua naogopa zaidi kuwaza kwamba natakiwa kuoa, kuliko ninvyoogopa kuwaza kwamba nitakufa!

Baada ya kusoma comments, najiongezea miaka mitano mbele. Hakuna namna!
Hahaha acha woga kijana. Lakuambiwa changanya nalakwako.
 
Wanaume sisi tunapokua wakali ni kwa mke, au mpenzi wa kujenga naye familia yaani ndoa. Lakini manzi ambaye hauna mpango naye huwa hatuna tabu kabisa.
Ni kweli kabisa,ila kuna muda demu usiyemjali anakuja kuuma. labda wawe wengi wengi ndio inakuwa haiumizi kichwa. halafu watu wengi wanakimbilia ndoa kama fassion. balaa baadae. ndoa mziki mwingine.
 
Nimesubscribe kbs .leo mapovu yahapa sijui yaan..Eve ww unanichekshaga sana .hhahahaha!

Kuna kipindi inatokea biashara, bajeti na ada za watoto mnapanga na mchepuko..[emoji28][emoji28]!..ukitaka kuhama nyumba mchepuko anakutaftia dalali unazunguka na dalali[emoji28]..ukitaka ununue usafiri unamhusisha mchepuko kuliko mume[emoji28]...Kwakweli Mbingu tutaiskia tu !Mungu atusamehe

hatari san (In shekh Kipoozeo voice)
Daaah umeongea kitu ambacho kina ukweli mnooo..

Na kinaumiza sana kwakweli..

Nimeshuhudia hii kitu zaidi ya mara 10 kwa michepuko tofauti
 
Mkuu umenena
Before sina kazi ya kueleweka mapenzi yalinisumbua sana
Sio leo
Yan hata dem afanye ujinga wake sina hata chembe
Daily nawaza jinsi gani account yangu ijae mapene wazazi wangu wananibariki nikiwasaidia pesa basi imekwisha
Mjomba kuna level ukifikia kwenye maisha mwanamke unamuana kawaida sana. Tutafute pesa mkuu.
 
Kwa Ke mnajidhalilisha hata ukikataa ni vile upo nyuma ya kibody tu.
Nnahakika mwanao wa kike utakua makini nae kuliko wa kiume wakifikia barehe
Ukiwa na mwanaume mwenye kuchepuka kifala kudhalilika kuko palepale... Bora nijiondolee stress...
 
Demu wangu kuna siku kafumania sms za mapenzi tena zile mbaya kwenye simu yangu tena kwa madem wanne tofauti aliNuna kama wiki mbili akalia wee....baadae tukayamaliza na maisha yanaendelea kama kawaida na mmojawapo ni rafiki yake....Sasa najiuliza ingekuwa kinyume chake nimemfumania kama hv sijui ingekuwaje siku hiyo
Umejiona mjanjaa!! Ngoja ninyamaze "chepuka kwa akili "
 
Tatizo utandawazi unawa sumbuwa... Mzee wangu alikuwa na wake 5. Na hakuna hata 1, aliye fikiria kuchepuka. Pima kuchepuka uone kama hujageuka paka.
 
Back
Top Bottom