Evelyn Salt Hayo ya wanawake kuchepuka kwa hisia ni dhana tu au ni wachache ambao wanasababu za kuwachoka waume zao au kuchoka ndoa zao.
Wake za watu wana michepuko zaidi ya mmoja na wanai handle bila shida. Mke wa mtu haendi wala hataki kulala kwa mchepuko labda apate safari ya mkoa /wilaya nyingine ndo Wanaweza panga na mchepuko mmojawapo wakaspend usiku mzima.
Wanawake wangekuwa kweli wanachepuka kwa hisia ndoa nyingi zingevunjika. Wanaume wavumilie tu kulea watoto wa wenzao hiiiiii [emoji23] msinikasirikie ni utafiti huo.