Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
 
Evelyn Salt Hayo ya wanawake kuchepuka kwa hisia ni dhana tu au ni wachache ambao wanasababu za kuwachoka waume zao au kuchoka ndoa zao.

Wake za watu wana michepuko zaidi ya mmoja na wanai handle bila shida. Mke wa mtu haendi wala hataki kulala kwa mchepuko labda apate safari ya mkoa /wilaya nyingine ndo Wanaweza panga na mchepuko mmojawapo wakaspend usiku mzima.

Wanawake wangekuwa kweli wanachepuka kwa hisia ndoa nyingi zingevunjika. Wanaume wavumilie tu kulea watoto wa wenzao hiiiiii [emoji23] msinikasirikie ni utafiti huo.
 
Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
Veeery right.. usije hisi unamkomoa boy wako kwa kutoka na rafiki ake.. men hit high five for that..
 
Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
U see hayo yawezekana tu kwa wenye tamaa ila sio kwetu wapendaji
 
Mume na mke walikaa sebuleni wanaangalia muvi,ghafla simu ya mke ikaita ujumbe ,kufungua anakuta msg kutoka kwa mchepuko wake "kuanzia Leo mi na wewe basi!!"
Mke michozi ikaanza kummwagika.mume anashangaa kulikoni,kuna msiba?

Mke:hapana Mme wangu,ni shangazi ananfundisha kupika pilau

Mume:asa ndo unatoka machozi

Mke: tupo hatua ya kukatakata vitunguu!!

Chezea kibuti!!
 
Evelyn Salt Hayo ya wanawake kuchepuka kwa hisia ni dhana tu au ni wachache ambao wanasababu za kuwachoka waume zao au kuchoka ndoa zao... Wake za watu wana michepuko zaidi ya mmoja na wanai handle bila shida. Mke wa mtu haendi wala hataki kulala kwa mchepuko labda apate safari ya mkoa /wilaya nyingine ndo Wanaweza panga na mchepuko mmojawapo wakaspend usiku mzima. Wanawake wangekuwa kweli wanachepuka kwa hisia ndoa nyingi zingevunjika. Wanaume wavumilie tu kulea watoto wa wenzao hiiiiii 😂 msinikasirikie ni utafiti huo.
Hahahaha vaa koti la mvua, kwa maana povu laja
 
Mwanaume anaweza kuchepuka asubuh, jion akarudi na zawad nono kwa mke wake na tabasamu mwanana kabisa.

Lakin mwanamke akichepuka asubuh ata mchana hawez kuitikia salam yako, kila kitu kinageuka waruwaru ndani kwako.

Umenena ukwel mtupu dada yangu.
 
Evelyn Salt Hayo ya wanawake kuchepuka kwa hisia ni dhana tu au ni wachache ambao wanasababu za kuwachoka waume zao au kuchoka ndoa zao... Wake za watu wana michepuko zaidi ya mmoja na wanai handle bila shida. Mke wa mtu haendi wala hataki kulala kwa mchepuko labda apate safari ya mkoa /wilaya nyingine ndo Wanaweza panga na mchepuko mmojawapo wakaspend usiku mzima. Wanawake wangekuwa kweli wanachepuka kwa hisia ndoa nyingi zingevunjika. Wanaume wavumilie tu kulea watoto wa wenzao hiiiiii [emoji23] msinikasirikie ni utafiti huo.
I love you girl
 
Mwanaume anaweza kuchepuka asubuh, jion akarudi na zawad nono kwa mke wake na tabasamu mwanana kabisa.

Lakin mwanamke akichepuka asubuh ata mchana hawez kuitikia salam yako, kila kitu kinageuka waruwaru ndani kwako.

Umenena ukwel mtupu dada yangu.
Na k ukanyimwa anatunziwa bwana mkunaji hahahaha (mbinguni tutapasikia tu)
 
Hizi tafsida za kisasa huhalalisha uovu mwingi sana kuonekana ni wema.
1. Hivi mkeo/mumeo akikuaga kuwa anaenda kucheza kamari utamchukuliaje! Ila akikuambia anaenda kubet utaona ni kawaida tu.
2. Mtu wako wa karibu kabisa utamsikia anasema siku hizi hakuna ndoa bora nidange tu, vipi akitumia neno asili ya hilo utamuonaje
3. Mwanaume/mwanamke mwenye kuenzi mambo ya laana zile za enzi za nabii Lutwi, siku hizi ndio yaonekana kawaida tu tena kwa majina mbali mbali
NB:KUCHEPUKA /KUDANGA HUU NI UMALAYA AMBAO HAUNA TOFAUTI NA UMALAYA MWINGINE WOWOTE
Dunia isitubadilishe ila sisi tuibadilishe.
 
Na k ukanyimwa anatunziwa bwana mkunaji hahahaha (mbinguni tutapasikia tu)
Kama mwanamke atachepuka seriuos na mchepuko wake yaan akampenda kwa dhat basi wew mwanaume siku zako za kuishi hapa duniani haziwez kuzid mwaka mmoja kama utaendelea kuishi nae nyumba moja.

Kwa muda anamuona mchepuko ni kila kitu na anaeleta kikwazo ni wew mume.
 
Na tofauti ndio iko hapa.
Nyie mkichepuka dharau hadi ndani ya nyumba. Wakati sie tukichepuka bado heshima iko palepale
Good morning.....

Angalizo: soma bila jazba inaweza kukukera, ukimaliza mcheki mkeo msonye kupunguza hasira.

Wataalamu wa mambo ya mahusiano wanasema mapenzi kwa mwanaume ni moja kati ya vitu, ila kwa mwanamke mapenzi ni kila kitu, yani kwa mwanamke mapenzi ni maisha. Ndio maana mwanamke unaweza kumkera basi asikupikie, asifanye chochote yani hapo kila kitu kipo connected na hayo mapenzi tofauti na mwanaume. Mwanaume unaweza kuwa na wanawake kadhaa na wanajuana na maisha yanaendelea ila kitendo cha kujua mwanamke wako kuna mtu anasimamia kucha ni pigo sana na usipokua imara unaweza rudi kwa muumba kizembe kizembe.

Bwana kujua mali zako zinaliwa inauma, iwe analiwa mwanaume au analiwa mwanamke inauma, japo wanaume mnajitoaga tu ufahamu mnajikuta mliumbwa na kibali cha kupiga yani nyie mpige tu mkipigiwa inakupa tabu. Cha ajabu ukute umeoa kabisa unajua uchungu wa mke na unaenda kupiga wake za wenzio tena unawapenda ndio mambo yako yani ila eti wako hautaki aguswe hihihihi nacheka kisukuma brother hebu kuwa serious kidogo!!!

Mwanaume anachepuka kwa tamaa tu yani kifupi hana madhara kiiivo tukiachana na wivu wivu tu hana madhara makubwa, labda kuchunwa chunwa tu na vitu vya hapa na pale, ila sasa tukija kwetu viumbe wa kike watu ambao mioyo yetu inashape ya kopa, kopa ndio na mioyo wanaume ina shape ya korosho (tusibishane katika hili [emoji16]) mwanamke kuchepuka ni hatari kuchepuka sio tu tamaa kuchepuka ni mapenzi tena mapenzi mazito, mahaba ya dhati kabisa, we don't offer mabao tu bali tunajitoa sana hadi hisia tunaweka rehani, yani kuchepuka ni kufall in love kabisa unampa mtu moyo na hisia (micheps msizingue jamani mtatuua) na hapa ndiyo hatari ilipo mwanamke usipohusisha akili nyumba itasambaratika, utaanza kama masihara tu mara unajikuta mme unamuona kama zombie huko kwenye ateri na aota kajaa mchepuko, mchepuke kwa makini na kwa akili jamani

Evelyn Salt (fisi jike)
 
Back
Top Bottom