Cherekochereko:Hatimaye First Born wa Dr Slaa afunga ndoa...

Cherekochereko:Hatimaye First Born wa Dr Slaa afunga ndoa...

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,880
image.jpeg

Huyu ndio First born wa Dr Slaa kwa mkewe wa kwanza Bi Rosemary Kamili mbunge wa Viti Maalumu CHADEMA!Anaitwa Linus...Huyu ndio bro wake na Junior,last born wa Dr Slaa.Amevuta jiko na kuagana na ulimwengu wa Ukapela.
image.jpeg
image.jpeg

Hapa Mama Rose Kamili akiserebuka na kina Mama wenzake wa kiiraqw kusherekea mwanae kuapata jiko.
 
Back
Top Bottom