barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,880
Huyu ndio First born wa Dr Slaa kwa mkewe wa kwanza Bi Rosemary Kamili mbunge wa Viti Maalumu CHADEMA!Anaitwa Linus...Huyu ndio bro wake na Junior,last born wa Dr Slaa.Amevuta jiko na kuagana na ulimwengu wa Ukapela.
Hapa Mama Rose Kamili akiserebuka na kina Mama wenzake wa kiiraqw kusherekea mwanae kuapata jiko.