Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Imekaaje hiki cheti cha Diploma ni Dhahabu wakati cheti cha Advanced level ni Mkaa .Serikali ianze kuleta ubunifu kutoa kipaumbele cha Ajira kwa wenye Advanced Certificate.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekaaje hiki cheti cha Diploma ni Dhahabu wakati cheti cha Advanced level ni Mkaa .Serikali ianze kuleta ubunifu kutoa kipaumbele cha Ajira kwa wenye Advanced Certificate.
Mtu wa ECA atakufaa kabisa.Hebu tuanzie hapa
Mimi nina karakana yangu,inahitaji Welders,Machinist na Technical Draughters
Na nitahitaji Administrator,awe anahusika na accounting, marketing na office adminstration kama Tax,Salaries na expenditures za kiofisi
Wewe na cheti chako cha advance utafiti wapi
Fani inamata zaidi kuliko Advanced level maana yule wa Diploma atakuwa na uwezo, ubobevu wa kuelewa kozi nyingi za fani yake practically akiwa field kuliko yule wa Advanced level ambapo wengi huwa wako theoretically sababu ya shule zetu nyingi huwa hazina physical training materials.Hebu tuanzie hapa
Mimi nina karakana yangu,inahitaji Welders,Machinist na Technical Draughters
Na nitahitaji Administrator,awe anahusika na accounting, marketing na office adminstration kama Tax,Salaries na expenditures za kiofisi
Wewe na cheti chako cha advance utafiti wapi
Imekaaje hiki cheti cha Diploma ni Dhahabu wakati cheti cha Advanced level ni Mkaa .Serikali ianze kuleta ubunifu kutoa kipaumbele cha Ajira kwa wenye Advanced Certificate.
Basi haina haja ya advance vijana waende diploma tuDiplomaa unasomea ujuzi wa kazi flani
Advance level unasoma history, Chemistry, General studies,,,
Hapo sawasawa na Ukitaka kuajiri Daktari uchukue kijana aliyemaliza PCB kidato Cha Sita huku ukitarajia awe competent kama aliyemaliza Diploma.Yaan wewe hitaji kuajiri afisa hesabu, utamuajiri kijana aliyesoma ECA au utamuajiri kijana aliyesoma diploma ya accountancy?