Cheti cha Ndoa kingetolewa baada ya miaka mitatu ungechukua?

Cheti cha Ndoa kingetolewa baada ya miaka mitatu ungechukua?

Ili iweje kwa mfano...

Nimejibu kama mwanamke anayesalitiwa na mumewe.

Hamjali anampiga na kumpiga matukio kama yote.

NB: Sio mimi 🤣🤣
Nyie waawake si mnadai mnapenda makashikashi matukio, hamtaki walokole kama wakina Ricardo Kaka.
 
Back
Top Bottom