WanaJF mrevedi?
Msaada tafadhali! kuna issue inanitatiza kidogo hapa kwenye kakibarua kangu (mama ntilie).
Kuna dada alipata mafunzo yake, akafauli vizuri sana, lakini bahati mbaya kabla vyeti havijatoka akawa amefariki dunia mwezi Me, 2017.
Ndugu zake wananidai cheti cha kuhitimu cha marehemu, na mie ninawaambia kuwa sio haki kutoa cheti cha marehemu kwa ndugu zake.
Msaada wenu wana griti thinka, nani yuko sahihi hawa ndugu wanaodai cheti cha mpendwa wao marehemu au mie ambaye ninawaambia cheti hakitolewi kwa ndugu wa marehemu kwa kuwa hakirithiwi?
Ahsanteni sana.