Cheti cha taaluma cha Marehemu

Cheti cha taaluma cha Marehemu

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,970
Reaction score
35,168
WanaJF mrevedi?

Msaada tafadhali! kuna issue inanitatiza kidogo hapa kwenye kakibarua kangu (mama ntilie).

Kuna dada alipata mafunzo yake, akafauli vizuri sana, lakini bahati mbaya kabla vyeti havijatoka akawa amefariki dunia mwezi Me, 2017.

Ndugu zake wananidai cheti cha kuhitimu cha marehemu, na mie ninawaambia kuwa sio haki kutoa cheti cha marehemu kwa ndugu zake.

Msaada wenu wana griti thinka, nani yuko sahihi hawa ndugu wanaodai cheti cha mpendwa wao marehemu au mie ambaye ninawaambia cheti hakitolewi kwa ndugu wa marehemu kwa kuwa hakirithiwi?

Ahsanteni sana.
 
Duh! Hii mpya na kali kung'ang'ania kupewa cheti cha marehemu! Umewauliza wanataka kukipeleka wapi, wanataka kukitumia wao nini au kumzika nacho?
 
Turevedi mtani....Sasa wanataka hico cheti wakirithi ili nini??
Yaani hapo ndio wananichanganya mtani! Ila sijui kama mie niko sahihi kuwanyima au wao ndio wako sahihi kukidai!!!
 
Duh! Hii mpya na kali kung'ang'ania kupewa cheti cha marehemu! Umewauliza wanataka kukipeleka wapi, wanataka kukitumia wao nini au kumzika nacho?
Alishazikwa tokea Mei, 2017 vyeti vilikuwa bado havijatoka, sasa vimetoka ndio wanakidai!
 
WanaJF mrevedi?

Msaada tafadhali! kuna issue inanitatiza kidogo hapa kwenye kakibarua kangu (mama ntilie).

Kuna dada alipata mafunzo yake, akafauli vizuri sana, lakini bahati mbaya kabla vyeti havijatoka akawa amefariki dunia mwezi Me, 2017.

Ndugu zake wananidai cheti cha kuhitimu cha marehemu, na mie ninawaambia kuwa sio haki kutoa cheti cha marehemu kwa ndugu zake.

Msaada wenu wana griti thinka, nani yuko sahihi hawa ndugu wanaodai cheti cha mpendwa wao marehemu au mie ambaye ninawaambia cheti hakitolewi kwa ndugu wa marehemu kwa kuwa hakirithiwi?

Ahsanteni sana.
Cheti cha ngazi/elimu gani na wanakudai wewe kama nani? Na kama unacho wewe na umeweza kukihifadhi umetumia mamlaka ipi kufanya hivyo na unatumia vigezo gani kuwanyima wao?
 
Ni cheti cha kuhudhuria mafunzo ya wiki ya moja. Nido maana nashindwa kujua kama niko sahihi au siko sahihi
 
mmmmh hatari sana kama vipi wape tu ila uwatahadharishe madhara ya kutumia cheti cha mtu mwingine

Back
Top Bottom