Yaani hapo ndio wananichanganya mtani! Ila sijui kama mie niko sahihi kuwanyima au wao ndio wako sahihi kukidai!!!Turevedi mtani....Sasa wanataka hico cheti wakirithi ili nini??
Alishazikwa tokea Mei, 2017 vyeti vilikuwa bado havijatoka, sasa vimetoka ndio wanakidai!Duh! Hii mpya na kali kung'ang'ania kupewa cheti cha marehemu! Umewauliza wanataka kukipeleka wapi, wanataka kukitumia wao nini au kumzika nacho?
Niliyeratibu hayo mafunzoKwani we nani mpaka wakudai Mkuu?
Cheti cha ngazi/elimu gani na wanakudai wewe kama nani? Na kama unacho wewe na umeweza kukihifadhi umetumia mamlaka ipi kufanya hivyo na unatumia vigezo gani kuwanyima wao?WanaJF mrevedi?
Msaada tafadhali! kuna issue inanitatiza kidogo hapa kwenye kakibarua kangu (mama ntilie).
Kuna dada alipata mafunzo yake, akafauli vizuri sana, lakini bahati mbaya kabla vyeti havijatoka akawa amefariki dunia mwezi Me, 2017.
Ndugu zake wananidai cheti cha kuhitimu cha marehemu, na mie ninawaambia kuwa sio haki kutoa cheti cha marehemu kwa ndugu zake.
Msaada wenu wana griti thinka, nani yuko sahihi hawa ndugu wanaodai cheti cha mpendwa wao marehemu au mie ambaye ninawaambia cheti hakitolewi kwa ndugu wa marehemu kwa kuwa hakirithiwi?
Ahsanteni sana.
mapishiKeanza mkuu hiko cheti ni cha mafunzo ya nini? Mbona hujafunguka vizuri!
Ni cheti cha kuhudhuria mafunzo ya wiki ya moja. Nido maana nashindwa kujua kama niko sahihi au siko sahihiCheti cha ngazi/elimu gani na wanakudai wewe kama nani? Na kama unacho wewe na umeweza kukihifadhi umetumia mamlaka ipi kufanya hivyo na unatumia vigezo gani kuwanyima wao?
Hebu nishauri ni wape au ?Sakata la vyeti liliwaacha salama kweli
Noma sana mkuuSakata la vyeti liliwaacha salama kweli
Yaani hapo ndio wananichanganya mtani! Ila sijui kama mie niko sahihi kuwanyima au wao ndio wako sahihi kukidai!!!
Ahsante kwa ushauri wakommmmh hatari sana kama vipi wape tu ila uwatahadharishe madhara ya kutumia cheti cha mtu mwingine
Avache mtaniAhsante kwa ushauri wako
Waulize wana lengo gani kama unaona inamake sense wape tu, vinginevyo utajisababishia mikosi tu.Hebu nishauri ni wape au ?
Ahsante kwa ushauri murua!Waulize wana lengo gani kama unaona inamake sense wape tu, vinginevyo utajisababishia mikosi tu.