The problem ni pale mtu anapolalamika kuingizwa habari za Kiba wakati ni yeye mwenyewe ndie ametangulia kufanya kile kile anachokilalamikia!!hahaha . ..k ni k buana
Anajiita!! Labda tukamuulize...Kwanini mnamuita Dangote?
Mkipata muda muulizeni.Anajiita!! Labda tukamuulize...
Basi sawa na... na nitauliza kwa kutangulia kusema "kwa niaba ya afrodenzi...!" Au huenda katumia msemo wa Kiswahili: Jina huumba....Mkipata muda muulizeni.
Kabisa. ...ally hana jipyaIli Usikie Ali "K" anazungumziwa
Lazima Zungumziwe Platinumz Kwanza..!
Na huyo King "K" wao amshukuru Chibu sana.. maana kupitia yeye ndio na yeye amepata nafasi ya kuzungumziwa
La sivyo.. hadi leo angekuwa anatunga mashairi ya..
"..usiniseme kama napenda kula.."
ilo povu veepekwa hiyo riwaya yako..
jiwe gizani limefika mahala husika
Umeona kaswida tuu mkuu mbona hujataja za injiliHuyu kijana ni talented sana pia anao moyo wakusaidia wenzake ndo maana kila analofanya linageuka kuwa lulu na kuigwa na wasanii wenzake,tangu aingie rasmi kwenye game ya bongo fleva 2009 ameshafanya makubwa mengi na kusemwa sana lakini hakati tamaa,kila msanii wa Tanzania anataka kuwa kama Chibu..kila ngoma anafit tena vizur kabisa sijawahi ona msanii kama huyu anaebadilika kila wimbo anaoutoa,ngoma ya Chege "Waache waoane" alinikosha sana nimeikumbuka leo...Keep going Simba ulitoa salome ya Saida saiv kila msanii anaetoa nyimbo lazima amkumbuke mama Saida Karoli...endelea kuwanyoosha na kuwafungulia njia Simba mzee wa kusimamia show mwenyewe Wasafi beach party,siyo kama wale wanaotumia mda mwingi kutengeneza koo na kuimba kama wanaimba nyimbo za kaswida.