Chibu Dangote -SIMBA

Chibu Dangote -SIMBA

Chibu Dangote Simba ndo yup tena ningempenda kumfaham huyu msanii ambaye anaonekana angeweza kuwachallenge akina Kiba, Diamond na Ay
 
Mjandala mkali ndoja nipate break fast nije nishiriki
 
Ili Usikie Ali "K" anazungumziwa
Lazima Zungumziwe Platinumz Kwanza..!

Na huyo King "K" wao amshukuru Chibu sana.. maana kupitia yeye ndio na yeye amepata nafasi ya kuzungumziwa

La sivyo.. hadi leo angekuwa anatunga mashairi ya..

"..usiniseme kama napenda kula.."
Kabisa. ...ally hana jipya
 
Huyu kijana ni talented sana pia anao moyo wakusaidia wenzake ndo maana kila analofanya linageuka kuwa lulu na kuigwa na wasanii wenzake,tangu aingie rasmi kwenye game ya bongo fleva 2009 ameshafanya makubwa mengi na kusemwa sana lakini hakati tamaa,kila msanii wa Tanzania anataka kuwa kama Chibu..kila ngoma anafit tena vizur kabisa sijawahi ona msanii kama huyu anaebadilika kila wimbo anaoutoa,ngoma ya Chege "Waache waoane" alinikosha sana nimeikumbuka leo...Keep going Simba ulitoa salome ya Saida saiv kila msanii anaetoa nyimbo lazima amkumbuke mama Saida Karoli...endelea kuwanyoosha na kuwafungulia njia Simba mzee wa kusimamia show mwenyewe Wasafi beach party,siyo kama wale wanaotumia mda mwingi kutengeneza koo na kuimba kama wanaimba nyimbo za kaswida.
Umeona kaswida tuu mkuu mbona hujataja za injili
 
Back
Top Bottom